Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Hivi najiuliza Rais, Makumu wake na PM hawawezi kupanda gari moja kwenda uwanjani? Tuna bana matumizi pamoja na kupunguza foleni.
Haikubaliki kwa sababu za kiusalama. Si Tanzania peke yake. Ni dunia nzima. Wakitumia usafiri mmoja likatokea la kutokea inakuwaje? Unapoteza Rais na Makamu wake kwa wakati mmoja!
 
Asiri= Asili
 
Tanzania tupo makabila mengi sana aisee
 
Umeongea vizuri,wangeweka misumali hata minne tu

Kuna tofauti ya kulalia ubao wenye misumari 200 na msumari 1-6 hivi.misumali 200 wame neutralize sana effect yake
Eeeeeeeewaaaaa kumbe na wewe umefikiria nje ya box, mkuu.
 
ahahaha,aya mkuu!bora nusu shari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…