Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara


Anataka kuonekana na yeye ni mkuu Wa Itifaki
 
hivi si wewe ulisusa kwenda
 
Waambieni ITV sauti inakatakata na watangazi wao wasiongee muda wote, waache tusikie muziki wa brass band
 

Mkuu ni hivi, hiyo tabia ambayo hukubaliani nayo ndio iliyompa madaraka aliyo nayo, katika mazingira hayo unategemea nini? Kibaya zaidi nasema zaidi, mteuzi wake asipokuona unafanya mambo ya hivyo anakuona hauko active. Na ninavyomjua huyo rc hatokaa abadilike kwani hiyo tabia iko kwenye damu yake. Wote tunajua alivyokuwa anajikombalize kwa ile familia kuu iliyotoka magogoni, na kwa sehemu kubwa tabia yake hiyo imempa ulaji. All in all dogo ni kero anakuwa kaa dem bana.
 
Nani aliona alichofanya JPM wakati anarudi kwenye jukwaa kuu baada ya kumaliza kukagua gwaride, alikuwa analeta utani huku akitanua mikono kuiga mwendo wa kijeshi wa haraka
Mi nimeona nikaipenda
 
Halafu watangazaji wa ITV wapunguze kuongea!...wawe wanatupia maneno ya hapa na pale, si kuwa kama wao ndio wenye shughuri. Mf. wakati wa mizinga na hata ukaguzi wa vikosi wanabwabwaja tu hata muziki wa brass band hausikiki!
Angalia station nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…