Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara


Kweli Mkuu na naona hapo mwishoni umeua balaa!
 
Naona leo Kat ziko chini sana haswa mwendo wa haraka. Polisi na wajela jela wamefanya poa
 
Ameharibu sana na ni matumaini yangu kuwa ataonywa na Wahusika ili hali hiyo isijirudie katika Shughuli zingine kubwa za Kitaifa.
Yule jamaa ni sikio la kufa. Inaonekana haamini kama ni yeye ndo mkuu wa mkoa. Unajua mtu ukitokea mtaani tu ukapewa nafasi ya kukaa kiti cha mbele lazima utaonesha hali ya kuchanganyikiwa kwa sababu hukutegemea kuwepo hapo. Ni sawa na mtu aliyeokota bilioni moja bila kutoa jasho, lazima achanganyikiwe tofauti na aliyezipata kwa kupigika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…