Real One
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 2,154
- 1,848
😀😀 kukata mauno mbele ya kadamnasi sio kitu rahisi mkuu inabidi tu wajibustiHalafu uzoefu unaonyesha hawa wacheza ngoma za asili huwa wanaingia uwanjani wamelewa ile mbaya. Wenyewe wanaita kukata stimu