Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Halafu uzoefu unaonyesha hawa wacheza ngoma za asili huwa wanaingia uwanjani wamelewa ile mbaya. Wenyewe wanaita kukata stimu
😀😀 kukata mauno mbele ya kadamnasi sio kitu rahisi mkuu inabidi tu wajibusti
 
naona watu hawana furaha,sura zao ziaonyesha huzuni sana,sijui wamekumbwa na nini masikini
 
Hivi kwanini hakuna mapigano ya kupimana nguvu.!?... yaani kama mechi ya kirafiki
 
Kaka, ndiyo ushangae! Na cha kuhuzunisha zaidi watoa sifa wa mtukufu rais hutowasikia wakizungumzia hili. The guy is so inconsistent, a typical trait of a populist.

Yaani ni usanii kwenda mbele. Actually, siku hizi wala sishangai tena! Toka aache sherehe za mwenge, nikamwona he isn't serious; and doesn't know that he isn't serious.
hivi kwa kukadilia sherehe kama hizi hugharimu kiasi gani..?
 
Wanaume huwa hawaogopani mkuu

Siyo kwa hawa Makomandoo Mkuu. Kama mbao zinavunjikia mbavuni, misumari imedhibitiwa huku matofali yakiteseka je itakuwaje kwa Mimi mwenye mwili tu huu ulio nyoro nyoro? Bora niwe muoga tu Mkuu potelea mbali.
 
Bwana yule ana roho ngumu sana waswahili wasema hana aibu wala soni
 
naona watu hawana furaha,sura zao ziaonyesha huzuni sana,sijui wamekumbwa na nini masikini
Kumbe na wewe umeliona hilo,
Tangu kuingia kwa viongozi, gwaride, nk watu wametulia tu amsha amsha hakuna...
 
Naomba uyo komando awekewe msumari mmoja tu kwenye ubao aulalie alafu wengine wapite juu !!!
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Umeongea vizuri,wangeweka misumali hata minne tu
Mkuu bado hujanishawishi na naona kama vile unataka nikafe mubashara. Haya sawa yale matofali ni ya magumashi je na ile misumari 200 nayo ni feki? Mkuu hivi unanipenda na kunitakia mema kweli kwa aina yako hii ya ushawishi kwangu?
Kuna tofauti ya kulalia ubao wenye misumari 200 na msumari 1-6 hivi.misumali 200 wame neutralize sana effect yake
 
Naomba kukuuliza hivi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda siku hizi na yeye amekuwa Mtu wa Itifaki? Kwani namwona anafanya Kazi za Watu wa Protocol na kimsingi yeye anatakiwa tu kumpokea mgeni, kupeana nae mkono kisha kuwaachia Watu wa ( Kazi Maalum / Itifaki ) kuendelea na majukumu yao waliyosomea na kubobea nayo lakini cha kusikitisha yeye huyo huyo RC Makonda anaenda kumpokea Mgeni kisha yeye huyo huyo tena anawasindikiza karibu na kupanda ngazi tena huku akitoa maelekezo. Huyu Mkuu wenu wa Mkoa aache kuwa na sifa na kimbelembele na nina uhakika hata Watu wa Itifaki alionao pale anawakwaza. Kwanini hajifunzi na habadiliki?
Wewe ulishaona vijana wa ngosha wanajua itifaki
 
Mimi ninachoshangaa ule utall wote anashindwa kumrushia makonzi yule bwana mfupi?
Mama kuna vyakujaribu, hivi nature na watu wafupi unajua ubishi wao ulivyo?
Wakiongeaga huwa wanaruka ruka muda wote, hata hizo kwenzi zinaweza kupiga hewa tu.
 
Ile misumari unaweza ikalia na isikudhuru sababu ya wingi, ningewaelewa kama ungekuwa msumari mmoja tu then wafanye yale wanayo yafanya hahahaaaa
Hospital zinge jiandaa kupokea majeruhi...
Sure, na watu ambacho hawajakifahamu, yule kalalia vichwa vya misumari iliyokusanyika sehemu moja sio nchi ya misumari.
 
Hivi hizi ngoma za asiri kila mwaka ni kutoka mikoa ile ile tu ama mikoa mingine huwa hakuna vikundi vya ngoma? nauliza tu make haya mambo ya itifaki nayo ni shida kweli kweli. Mikoa kama Arusha, Tabora, Singida, Mara n.k hawana ngoma za asiri za kutumbuiza sherehe?
 
Back
Top Bottom