Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Siri ni kuwa na wake wawili.....Dah mzee wa upako ameleta problem!!!!!!!!.JPM amependa hilo wazo.
Inaelekea anataka kuoa mwanamke mwingine maana hii kauli anaiongea mara kwa mara....anamuandaa mke wake kisaikolojia
 
Hivi Kweli suala la Wahanga wa Bukoba litaongelewa?

Nauliza tu.
 
Inaelekea anataka kuoa mwanamke mwingine maana hii kauli anaiongea mara kwa mara....anamuandaa mke wake kisaikolojia
Nafikiri anatutayarisha kisaikolojia ili akivuta mzigo tusishtuke kabisa.Soon atatuletea kitu kipyaaa.But am sure sio yule......naniii
 
Naomba kukuuliza hivi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda siku hizi na yeye amekuwa Mtu wa Itifaki? Kwani namwona anafanya Kazi za Watu wa Protocol na kimsingi yeye anatakiwa tu kumpokea mgeni, kupeana nae mkono kisha kuwaachia Watu wa ( Kazi Maalum / Itifaki ) kuendelea na majukumu yao waliyosomea na kubobea nayo lakini cha kusikitisha yeye huyo huyo RC Makonda anaenda kumpokea Mgeni kisha yeye huyo huyo tena anawasindikiza karibu na kupanda ngazi tena huku akitoa maelekezo. Huyu Mkuu wenu wa Mkoa aache kuwa na sifa na kimbelembele na nina uhakika hata Watu wa Itifaki alionao pale anawakwaza. Kwanini hajifunzi na habadiliki?
Hausigeli wangu alipomuonna Paulo akaniuliza "Na yule ni Rais?"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nasubiri kusikia issue ya bukoba, akiikalia kimya ntaona mkulu anajua mpango mzima ulivokwenda.
 
Mkuu hebu suala la mke na watoto linakuja vp hapa au unataka ww uwe ktk hizo position ulizotaja?

Mungu anaweza asikujalie watoto ila sio mke. Hilo la kukosa mke bwana yule kalitaka mwenyewe unless bwana yule ana yale matatizo mengine ya kibinaadam.
 
Back
Top Bottom