Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Nilibyosikia anagusia wafanyakazi, wanafunzi na ajira na kusema leo ni siku ya furaha moyoni nikategemea yafuatayo,
1. Tunaongeza mishahara mara dufu
2. Kila mwanafunzi apate mkopo
3. Nimeruhusu ajira kuanza kutolewa
 
Ayaa, salamu za kidini tena. Bwana asifiwe, tumsifu Yesu Kristu???????. Nani kamfundisha rais haya mambo? Marais waliopita wslisalimia tu, Asalam Aleikhum. Hiki ni kiswahili wala suo salama ya kidini! Kama wanataka kutoa salamu za kidini basi amalizie hiyo salamu ili iwe ya kiislam sawia! Yaani iwe Asalaam Aleikhum wa rahma tulah wataala wa Barakatul.
Why salamu za kidini? Tumsifu Yesu Kristu? Bwana asifiwe? Why? Mbona Mwalimu hakuwahi kufanya haya mambo?
Hili halina maelezo ya ziada zaidi kuashiria ufa mkubwa wa kidini uliopo sasa! Please stop this! Inaamsha hisia za kidini bila sababu yoyote. Tafadhali viongozi wakuu wa chini yetu epukeni kuweka vionjo vya kidini kwenye hotuba zenu!
Akishasalimia hiyo salamu ya kiarabu ndio itaongeza nini katika pato la taifa au living standard ya watanzania?
 
Pumbavu wewe! Kuna nchi zinaongozwa na maraisi walioko kitandani na wanahafadhali kuliko hao wenye uwezo wa kusimama hadi mizinga 21 ipigwe!
Jmn watu waache msema vby Lowasa mana kuna katrend waliomsema wana RIP ye yupo anadunda,ss sijui ni coincidence ama ni vepee
 
Eti hapo rais kashamaliza hotuba yake.
Hajaongelea ajira na hajui kuwa wimbi kubwa la vijana lipo mtaani.
Kweli hapa rais tunaye.
Sijui alipataje urais huyu mtu kwa kweli.
Ana mawazo ya kimaskini very minded mind
 
Duuuh... Leo kajitahidi maana angeweza kutumbua hapo uwanjani.... Akili yake anaijua mwenyewe...
 
Nilibyosikia anagusia wafanyakazi, wanafunzi na ajira na kusema leo ni siku ya furaha moyoni nikategemea yafuatayo,
1. Tunaongeza mishahara mara dufu
2. Kila mwanafunzi apate mkopo
3. Nimeruhusu ajira kuanza kutolewa
serikali ya awamu ya tano tumejipanga kufanya kazi kweli kweli,
fanya kazi kwa moyo kwa maendeleo ya nchi yako
 
Nilibyosikia anagusia wafanyakazi, wanafunzi na ajira na kusema leo ni siku ya furaha moyoni nikategemea yafuatayo,
1. Tunaongeza mishahara mara dufu
2. Kila mwanafunzi apate mkopo
3. Nimeruhusu ajira kuanza kutolewa
Dah lakin katika hoja za msingi alizoziona yeye ni pamoja na ndege sita!! Siju imekaaje hii kwa watanzania
 
Back
Top Bottom