Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Wakati mwingine muwe mnatumia vichwa vyenu ipasavyo... Hivi ile nayo ni kauli ya kushikia kidete?huyo mama kazi anayo, tangu kipindi cha kampeni hata siku ile kikwete anamkumbusha amtambulishe mkewe jibu alilotoa pale halikuwa zuri