Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Tatizo ninaloliona hapo ni gharama za kuwasafirisha viongozi wakuu na waalikwa kwenda Dodoma na kurudi.Tutaingia gharama ambazo zingeweza kuepukika.
Wataenda huko kwa pesa zao tu,wakiitwa lazima watafika tu.
 
Raisi Magufuli amesema leo kuwa sikukuu ya uhuru ya leo ni ya mwisho kufanyikia Dar es salaam na kwamba ijayo itafanyikia Dodoma. Miundo mbinu ya kuwezesha kufanyika kwa sikukuu hizo ipo? Dodoma kuna uwanja wa Kitaifa?
Mfalme wa Morocco atajenga uwanja wa kisasa
 
Kimsingi nchi imepiga hatua.Ni muhimu serikali isimamie ipasavyo rasilimali zilizopo ili wananchi wapate huduma za msingi ipasavyo.Ni vema serikali pia iimarishe mifumo ya ajira na maslahi bora kwa watumishi wa umma na kuweka mazingira bora kwa wakulima has a pembejeo na masoko.
 
Hakuna asiependa raha ktk dunia hii. Kuzunguka na kile kigari cha wazi na kuwasalimu wananchi ni furaha pia. Mi nilishangaa sana, hivi huyu jamaa yeye hapendi kile kigari?
 
Dodoma itapata uwanja wa kiwango cha kimataifa kupitia mkataba wa mfalme wa Morrocco.
Kitu ambacho sina uhakika nacho ni:
1.Hoteli za nyota 5
2.uwanja wa ndege wa kimataifa hapo Msalato(hii ipo kwenye master plan ya Dodoma toka enzi hizo).
3.ofisi za balozi za nchi mbalimbali(sijui kama nchi hizo zimejulishwa dhamira ya Serikali kuhamia Dodoma).
 
Zikifanyika kweli dodoma ntaharisha barabarani....
 
Kutenganisha sherehe za maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika na uwanja wa uhuru ni kupoteza maana ya sherehe zenyewe
 
Raisi Magufuli amesema leo kuwa sikukuu ya uhuru ya leo ni ya mwisho kufanyikia Dar es salaam na kwamba ijayo itafanyikia Dodoma. Miundo mbinu ya kuwezesha kufanyika kwa sikukuu hizo ipo? Dodoma kuna uwanja wa Kitaifa?

Kama Bunge linaweza kukutana Miezi mitatu Dodoma ndo tushindwe Gwaride?
 
tanzania bara ni nchi ngani??
Tanzania bara na Tanzania visiwani.

Tanganyika na Zanzibar.

Hao waoiita Tanganyika ni Tanzania bara halafu wakati huo huo wanasema Zanzibar badala ya Tanzania vusiwani ni wapotoshaji. Kama hakuna Tanganyika basi Zanzibar nayo haipo, na kuna Zanzibar basi pia kuna Tanganyika.

Hili nalo halihitaji shule kubwa kulielewa.
 
Bwana yule ana roho ngumu sana waswahili wasema hana aibu wala soni
Nashauri ndugu zake wamkamate kwa nguvu ndugu yao na kumpeleka Hospitali akapimwe afya ya akili huenda kuna hitlafu na wataweza kuzirekebisha kungali mapema. Wakidharau ushauri wangu wanaweza kujuta baadae atakapo fanya mambo ya aibu na tiba ikashindikana kwa vile wamemchelewesha.
[HASHTAG]#MATIBABUKWA[/HASHTAG] LIPUMBANISASA
 
Tatizo ninaloliona hapo ni gharama za kuwasafirisha viongozi wakuu na waalikwa kwenda Dodoma na kurudi.Tutaingia gharama ambazo zingeweza kuepukika.
Imeshawahi kufanyika miaka ya 2000 mwanzoni chini ya BWM
 
Tanganyika ni jipu linalo hitaji kutumbuliwa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom