Wataenda huko kwa pesa zao tu,wakiitwa lazima watafika tu.Tatizo ninaloliona hapo ni gharama za kuwasafirisha viongozi wakuu na waalikwa kwenda Dodoma na kurudi.Tutaingia gharama ambazo zingeweza kuepukika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataenda huko kwa pesa zao tu,wakiitwa lazima watafika tu.Tatizo ninaloliona hapo ni gharama za kuwasafirisha viongozi wakuu na waalikwa kwenda Dodoma na kurudi.Tutaingia gharama ambazo zingeweza kuepukika.
Mfalme wa Morocco atajenga uwanja wa kisasaRaisi Magufuli amesema leo kuwa sikukuu ya uhuru ya leo ni ya mwisho kufanyikia Dar es salaam na kwamba ijayo itafanyikia Dodoma. Miundo mbinu ya kuwezesha kufanyika kwa sikukuu hizo ipo? Dodoma kuna uwanja wa Kitaifa?
Sawa Mkuu, tulijaribu tu wengine kutumia comom sense. Ungesema swali kwa ajili ya wana Usalama wengime tusingesogea kabisaTuwaachie wana usalama mkuu
Watakuwa wote Dom next yearTatizo ninaloliona hapo ni gharama za kuwasafirisha viongozi wakuu na waalikwa kwenda Dodoma na kurudi.Tutaingia gharama ambazo zingeweza kuepukika.
Yaani kuweka mafuta kwenye Bombardier ndio kutingisha uchumi?Tatizo ninaloliona hapo ni gharama za kuwasafirisha viongozi wakuu na waalikwa kwenda Dodoma na kurudi.Tutaingia gharama ambazo zingeweza kuepukika.
hahahaha mkuu humwamini mkuu wako wa nchi?Zikifanyika kweli dodoma ntaharisha barabarani....
Raisi Magufuli amesema leo kuwa sikukuu ya uhuru ya leo ni ya mwisho kufanyikia Dar es salaam na kwamba ijayo itafanyikia Dodoma. Miundo mbinu ya kuwezesha kufanyika kwa sikukuu hizo ipo? Dodoma kuna uwanja wa Kitaifa?
Tanzania bara na Tanzania visiwani.tanzania bara ni nchi ngani??
Magogoni atahama nayo?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Dodoma kila kitu kipo kwa shughuli zote za serikali.ni bahari tu hakuna.
Nashauri ndugu zake wamkamate kwa nguvu ndugu yao na kumpeleka Hospitali akapimwe afya ya akili huenda kuna hitlafu na wataweza kuzirekebisha kungali mapema. Wakidharau ushauri wangu wanaweza kujuta baadae atakapo fanya mambo ya aibu na tiba ikashindikana kwa vile wamemchelewesha.Bwana yule ana roho ngumu sana waswahili wasema hana aibu wala soni
Zikifanyika kweli dodoma ntaharisha barabarani....
Imeshawahi kufanyika miaka ya 2000 mwanzoni chini ya BWMTatizo ninaloliona hapo ni gharama za kuwasafirisha viongozi wakuu na waalikwa kwenda Dodoma na kurudi.Tutaingia gharama ambazo zingeweza kuepukika.