Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Chadema wakiangalia kilichotokea mwanza kwenye mikutano wa magufuliii, ni halali wajiandae kulalamika kuwa wameibiwa kula.
Mzeeee wa kiki kule kisiwani mkutano wake umezidiwa na ule wa hash rungwee.
Watoto wamejaa uwanjani kwa kusombwa na mabasi,hii ndio ccm utopolo ya meko na wajinga kama wewe
Screenshot_20200907-150306_Twitter.jpeg
 
Chadema wakiangalia kilichotokea mwanza kwenye mikutano wa magufuliii, ni halali wajiandae kulalamika kuwa wameibiwa kula.
Mzeeee wa kiki kule kisiwani mkutano wake umezidiwa na ule wa hash rungwee.
Ni kwa wale watoto wa shule waliofurika uwanjani au?
 
Geita kampeni za sisiemu zilipaswa kufanyika kesho(8/9/2020), zimeahirishwa mpaka keshokutwa(9/9/2020).

Nadhani wahusika wa ulorishaji walichelewa kukamilisha maandalizi.
 
CCM kwa vile wao ni wabishi hawashindwi kujibu hoja na viroja wanazofanya mkutano ujao wa lissu wataleta watoto na kuwapiga picha ili ionekane chadema nayo inawatoto wengi
 
Toka namfahamu Magufuli hii ya leo ndio hotuba yake bora kabisa.

Alikuwa composed halafu anatema madini tu.
 
Kwa mara ya kwanza, Shule zimefunguliwa nchi nzima kasoro mwanza, kisa tu kuna mtu anazindua 'kampeni', wakati hadi siku ya mazishi ya Bw Mkapa, walienda shule.
 
Kwa nyomi niliyoiona Mwanza kuanzia jana na leo, hakuna wa kushindana na JPM mwaka huu, kwanza ameshashinda tayari.
 
Jana siku nzima barabara ya kutoka Musoma ilikuwa imejaa mpak mwanza mjini watu Wana msubiri, katoka msoma asubhi kafika Mwanza jioni, poleni sana msiompenda huyu mwamba.

View attachment 1561206View attachment 1561207View attachment 1561208View attachment 1561209View attachment 1561210View attachment 1561214View attachment 1561215View attachment 1561216View attachment 1561217View attachment 1561218View attachment 1561219View attachment 1561220View attachment 1561221
Na leo hali ya hewa mwanza ipo mjarabu Sana, hakuna jua ni mawingu na ubaridi fulani amazing baada ya kunyesha mvua kubwa juzi, mweshimiwa ajiandae kuhutubia maelfu ya wakazi, mkoa wa Mwanza Una idadi ya watu ~3million, roughly hakosi kura 800K, wafanyakazi, wapenda kuajiriwa na wapenda vinono , wapenda mishahara mikubwa bila kuhangaika huku hawazidi 200k ambao wengi wao hawataenda kupiga kura ila wataalam wa mitandaoni , so huku Lissu ategemee kura 80K , membe 0.5K na hashimu 2K.....

Tujage
Wasiompenda huyu mwamba, wakanunue malimao kabisaaa maana hakuna wa kumzuia ati.
 
Mie nilienda ili kumwangalia mondi tu baada ya kumwona mondi nilisepa zangu 😂😂
 
Siasa za nyomi Chadema mnapenda Sana , hamjajifunza bado Kwa Lowasa , watu wamejaa kwenye pitch , na sa hv asubh hii , mida ya sa kumi ndo uje na malalamiko kuwa uwanja ulikuwa nusu , nyie mlijisifu na watu wa furahisha na bado picha mkadublicate, na kampeni zenu zilihusisha kanda nzima
SIO KILA ANAYEANDIKA TOFAUTI NA WEWE UNAYETAKA NI CHADEMA .,...WENGINE HAWANA VYAMA AU PIA NI CCM ,..AU NI WAPENDA USAWA TU
 
Wasiompenda huyu mwamba, wakanunue malimao kabisaaa maana hakuna wa kumzuia ati.
LAZIMA ASHINDE KWAKUA HAKUNA USHINDANI ULIO SAWIA ,,,....TBC TOKA ASUBUHI KILA SIKU ANAONEKANA YEYE TU ...WAKATI SHERIA ZA UCHAGUZI ZINAHITAJI WAGOMBEA WOTE WOTE WAPEWE FURSA SAWA ZA MIKUTANO YAO KURUSHWA MUBASHARA ....YEYE HADI MIKUTANO YA PEMBENI YA BARABARA YUKO LIVE
 
Majaliwa anatumia nguvu nyingi sn kunadi sera na kuomba kura......
Hiii ina maana gani?
 
Back
Top Bottom