Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Chadema wakiangalia kilichotokea mwanza kwenye mikutano wa magufuliii, ni halali wajiandae kulalamika kuwa wameibiwa kula.
Mzeeee wa kiki kule kisiwani mkutano wake umezidiwa na ule wa hash rungwee.
Ni kwa wale watoto wa shule waliofurika uwanjani au?
 
Geita kampeni za sisiemu zilipaswa kufanyika kesho(8/9/2020), zimeahirishwa mpaka keshokutwa(9/9/2020).

Nadhani wahusika wa ulorishaji walichelewa kukamilisha maandalizi.
 
CCM kwa vile wao ni wabishi hawashindwi kujibu hoja na viroja wanazofanya mkutano ujao wa lissu wataleta watoto na kuwapiga picha ili ionekane chadema nayo inawatoto wengi
 
Toka namfahamu Magufuli hii ya leo ndio hotuba yake bora kabisa.

Alikuwa composed halafu anatema madini tu.
 
Kwa mara ya kwanza, Shule zimefunguliwa nchi nzima kasoro mwanza, kisa tu kuna mtu anazindua 'kampeni', wakati hadi siku ya mazishi ya Bw Mkapa, walienda shule.
 
Kwa nyomi niliyoiona Mwanza kuanzia jana na leo, hakuna wa kushindana na JPM mwaka huu, kwanza ameshashinda tayari.
 
Wasiompenda huyu mwamba, wakanunue malimao kabisaaa maana hakuna wa kumzuia ati.
 
Mie nilienda ili kumwangalia mondi tu baada ya kumwona mondi nilisepa zangu 😂😂
 
SIO KILA ANAYEANDIKA TOFAUTI NA WEWE UNAYETAKA NI CHADEMA .,...WENGINE HAWANA VYAMA AU PIA NI CCM ,..AU NI WAPENDA USAWA TU
 
Wasiompenda huyu mwamba, wakanunue malimao kabisaaa maana hakuna wa kumzuia ati.
LAZIMA ASHINDE KWAKUA HAKUNA USHINDANI ULIO SAWIA ,,,....TBC TOKA ASUBUHI KILA SIKU ANAONEKANA YEYE TU ...WAKATI SHERIA ZA UCHAGUZI ZINAHITAJI WAGOMBEA WOTE WOTE WAPEWE FURSA SAWA ZA MIKUTANO YAO KURUSHWA MUBASHARA ....YEYE HADI MIKUTANO YA PEMBENI YA BARABARA YUKO LIVE
 
Majaliwa anatumia nguvu nyingi sn kunadi sera na kuomba kura......
Hiii ina maana gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…