Yaliyojiri VPL: Simba SC vs Yanga SC - 20 October 2013

Status
Not open for further replies.
ataweza?wakati bado yupo kwenye thread,kuna moja naye alisema yangu isiposhinda nibandueni,yanga mna mambo

hahaaaaaaaaa tunaipenda timu yetu ndo mana tunaweka hizo sacrifice.........

Kubanduliwa..kumeza kisu..kununua kamba ya kujinyongea makubwa hayo
 

Acheni unafiki nyie, kwani Ulaya ukirudisha tatu haushangilii? Mnaangalia mpira wapi nyie!
 
Acheni unafiki nyie, kwani Ulaya ukirudisha tatu haushangilii? Mnaangalia mpira wapi nyie!

Ulaya hakuna hata mwehu mmoja mwenye kuweza kushangilia kushushwa kileleni mwa ligi only in Simba Sc ndio utakutana na majinga hayo.
 
ha ha haaaa! Shosti heaven on earth naona leo babu asprin atafungiwa nje kuwashangilia simba..... Roho inauma sana game la leo, basi tu..... Darling watu8 twende bar leo nikapumzishe akili lol

mie nahisi kuumwa kabisa......bora we na mumeo watu8 wote yanga......
Kapigeni kinana moja mbili mjifariji....

Ila umenionea wapi mwekundu alisema atameza kisu siku ya leo
 
Last edited by a moderator:
Ulaya hakuna hata mwehu mmoja mwenye kuweza kushangilia kushushwa kileleni mwa ligi only in Simba Sc ndio utakutana na majinga hayo.
Inaonekana una matatizo binafsi na Simba na si kwa sababu ya matokeo ya draw, hao walioishusha Simba toka jana wamecheza mechi moja zaidi na wameizidi Simba pointi moja, wala hatufurahii kwa kupata droo lakini tunafurahia namna droo ilivyopatikana, wewe unataka tunune kwa sababu ya droo na tungefungwa si ungetaka tufe kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…