Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Hali ya huyu kijana sijui ikoje leo!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ya huyu kijana sijui ikoje leo!!!!!!!!!
![]()
Hali ya huyu kijana sijui ikoje leo!!!!!!!!!
Sister, unani vunja mbavu.
nilisikia alienda kununua kamba akasema tukifungwa najinyonga.
btw way pole sana teh teh
watu mlijipa matumaini mkafurahiii huku mnatuchekatumetoka droo hawez kujinyonga nahisi......
pole halafu unacheka......
mwekundu alisema atameza kisu yanga wasiposhinda...sijui status yake ikojewatu mlijipa matumaini mkafurahiii huku mnatucheka
ataweza?wakati bado yupo kwenye thread,kuna moja naye alisema yangu isiposhinda nibandueni,yanga mna mambo
hehehe bado yako sijasikiahahaaaaaaaaa tunaipenda timu yetu ndo mana tunaweka hizo sacrifice.........
Kubanduliwa..kumeza kisu..kununua kamba ya kujinyongea makubwa hayo
leo ukirudi home utaona.......
Frankly speaking nchi itaendelea kudumaa na haitokaa ipate mafanikio katika soka, inasikitisha sana mtu mzima kuwa kama zuzu kushangili droo badala ya kulika kitimoto benchi la ufundi ni kwa nini timu iruhusu kufungwa goli 3 kwa dakika 45? Hii ni kwa timu zote mbili.
hehehe bado yako sijasikia
Baada ya dk 90itakuwa simba3 yanga2
Acheni unafiki nyie, kwani Ulaya ukirudisha tatu haushangilii? Mnaangalia mpira wapi nyie!
ha ha haaaa! Shosti heaven on earth naona leo babu asprin atafungiwa nje kuwashangilia simba..... Roho inauma sana game la leo, basi tu..... Darling watu8 twende bar leo nikapumzishe akili lol
Inaonekana una matatizo binafsi na Simba na si kwa sababu ya matokeo ya draw, hao walioishusha Simba toka jana wamecheza mechi moja zaidi na wameizidi Simba pointi moja, wala hatufurahii kwa kupata droo lakini tunafurahia namna droo ilivyopatikana, wewe unataka tunune kwa sababu ya droo na tungefungwa si ungetaka tufe kabisa.Ulaya hakuna hata mwehu mmoja mwenye kuweza kushangilia kushushwa kileleni mwa ligi only in Simba Sc ndio utakutana na majinga hayo.
Tatizo lako ulianza kuogopa kabla ya magoli hayajaanza hata kurudishwa.yangu ni nzito wewe......bora hata nisiiseme
Tatizo lako ulianza kuogopa kabla ya magoli hayajaanza hata kurudishwa.