Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Ha ha haaaa! Shosti Heaven on earth naona leo babu Asprin atafungiwa nje kuwashangilia Simba..... Roho inauma sana game la leo, basi tu..... Darling watu8 twende bar leo nikapumzishe akili lol
Hilo umepata mama...shaka ondoa
Last edited by a moderator: