Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

ila simba dawa yenu!

sawa kwa sababu akili zenu zooooote mnawaza mtaifungaje yanga. nyie sio level yetu sisi tunawaza kuwa machampion kitaifa na kimataifa. that is our goal. our goal sio kuwafunga mikia..beside hatukuweka nguvu zetu hata kidogo kwenye match ya juzi mkatufunga kwa mbindeeee bao moja. tulikuwa tunawaza tutashindaje hii mech ya kimataifa coz hatuna wasi wasi na uwezo wetu VPL. ukija njoo na majibu kwa nini huwezagi kumfunga stand united kama wewe upo vizuri
 
kidume chako stand united bwana halafu bado wajiita kidume kisa una mindevu!!! . yanga international bwana

hapa tunaongelea simba na yanga sasa stand katoka wapi! Umevurugwa kijana km sisi kidume chetu stand basi nyie sisi vidume wenu!
 

??????
 
mlipowafunga mbeya city walikuwa marefa wa yanga!! We nae walewale tu huna lolote!

Nenda kakojoe ulale, Mbeya City siyo Simba, leo imekula kwenu! Wewe huna lolote zaidi hata jina lako umeanza na herufi ndogo, kilaza mkubwa huwezi kubishana na vipanga hapa jukwaani. Mwache Masuke mwenye akili tuchati naye, wewe hovyo kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo nini nimekumiss hivi??? Kuna Windhoek beer bariiiidiiii hapo Kaizer? Naja chapchap but usimwalike Asprin ha ha hahahaaa nitayakogaje matusi sasa kutoka kwa babuu.!!!

Hahaha atakula kwa macho tu😛😛😛
 
Last edited by a moderator:
hapa tunaongelea simba na yanga sasa stand katoka wapi! Umevurugwa kijana km sisi kidume chetu stand basi nyie sisi vidume wenu!

ni sawa na kuwa na mwanamke mwenye pesa nyingiiii na mwenye maamuzi makubwa kwenye familia kuliko wewe mwanaume. sawa MUME BWEGEEEE
 
Hatupotezi mechi tena. Sikumbuki ni lini Yanga ilipoteza mechi 3 katika msimu wa ligi ukiondoa msimu huu. Tulizopoteza zatosha, sasa ni mwendo mdundo tu hadi ubingwa.
Kumbuka bado mna mechi kumi, kati ya hizo mechi lazima muwe na draw za kutosha na vipigo hamtaviepuka. Msimu wa 2011/2012 mlipoteza mechi saba, kwa hiyo msimu huu hakuna cha ajabu kupoteza mechi zaidi ya tatu.
 
Kumbuka bado mna mechi kumi, kati ya hizo mechi lazima muwe na draw za kutosha na vipigo hamtaviepuka. Msimu wa 2011/2012 mlipoteza mechi saba, kwa hiyo msimu huu hakuna cha ajabu kupoteza mechi zaidi ya tatu.

Naomba link ya msimamo wa ligi mwaka huo, sijaridhika na jibu lako Mkuu.
 
Hao marefa mkuu wangekuwa ni wanazi wa Simba tusingetoa draw nyingi hivyo, draw zenyewe karibia timu pinzani zote zilikuwa zinasawazisha tena kipindi cha pili na zingine karibia dakika ya 90 mfano Coastal na Prison, kama wangekuwa ni wanazi si wangeyakataa tu yale magoli ili timu ishinde yao ishinde.

Kadi nyekundu ya Haruna ilikuwa ni halali yake ndo maana hata kocha hakulalamika, tena mna bahati yule refa aliwabeba sana maana kulikuwa na red card kama zingine mbili alizipotezea tu, ya Nadir Haroub alivyompinga kwanja Emmanuel Okwi wakati mpira ushapita na ile ya Dany Mrwanda alivyofanyiwa faulo na Ramadhani Kessy na yeye kurudishia huku akijua kwamba tayari refa alishaamua kitendo kilichokuwa kimefanywa na Ramadhani Kessy ilikuwa ni faulo.

Kwa maelezo hayo naweza kusema refa aliwanufaisha zaidi nyie kuliko sisi.
 
Naomba link ya msimamo wa ligi mwaka huo, sijaridhika na jibu lako Mkuu.
Niamini mkuu maana ningekuwa nataka kukudanganya ningeweka hata misimu mitatu, lakini nimeangalia nikaona ni msimu huo tu kwa miaka ya karibuni, natumia simu sitaweza kuweka link lakini kama unaweza kuingia kwenye website ya www.Azamfc.co.tz na kuchagua mwaka husika utaona.
 

Yanga kabakiza mechi 8, Simba 6
 

Sawa Mkuu, nimepitia kumbukumbu ni kweli tulipoteza mechi 7 ule mwaka wa 2011/2012 baada ya wachezaji wetu 6 kufungiwa kwa lile sokomoko la yule refa. Mazingira ya ule mwaka ni tofauti na mwaka huu. Bila shaka nanyi mliishia hapo kuwa mabingwa hata leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…