ila simba dawa yenu!
sawa kwa sababu akili zenu zooooote mnawaza mtaifungaje yanga. nyie sio level yetu sisi tunawaza kuwa machampion kitaifa na kimataifa. that is our goal. our goal sio kuwafunga mikia..beside hatukuweka nguvu zetu hata kidogo kwenye match ya juzi mkatufunga kwa mbindeeee bao moja. tulikuwa tunawaza tutashindaje hii mech ya kimataifa coz hatuna wasi wasi na uwezo wetu VPL. ukija njoo na majibu kwa nini huwezagi kumfunga stand united kama wewe upo vizuri
