Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Bantu lady habari ya siku dadangu,
uko poa lakini.
Ushindi leo ni muhimu kuliko chochote maana upande wa pili mh....
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa, mkuu tuko pamoja lakini sio vizuri kuwadhalilisha wazee wetu bwana.
Mpira ni burudani tu, natanguliza samahani!

Hahahaaa tupo pamoja mkuu natengua kauli yangu ila yanga inatakiwa ipeleke kipigo kizito kwa hawa wazimbabwe
 
raha yangu leo itakamilika kama watani watafungwa, kwa kweli nawaombea sana njaa
 
Bantu lady habari ya siku dadangu,
uko poa lakini.
Ushindi leo ni muhimu kuliko chochote maana upande wa pili mh....

Nzuri tu kaka NGANU, mimi nipo powa kabisa hofu kwako.
Leo Mungu wetu tumuombaye hatatuangusha.
 
Last edited by a moderator:
Diamond Platinum funga kandambili hao warudi kuchezea vipigo ligi ya Bongo
 
mbona hayo mazungumzo mara nyingi huwa yanafeli? ukiona unaenda sokoni kuuza nyanya alafu zinaoza unarudi nazo nyumban bas ww una matatizo. tena afafhali nyanya kuliko mpira ambao unaexpire baada ya dk 90! tafakari

Unavyoongea utadhan hata danadana unaweza kupiga
 
Back
Top Bottom