mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
hao wangekutana na mnyama wangepigwa kumi.
Al ahly shandi mliwafunga mangapi vile!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao wangekutana na mnyama wangepigwa kumi.
mnyama yule mwenye mkia au?
Platinumz jamani pigeni hao yanga furaha yangu ikamilike leo, najua wataludisha na kuongeza
Sasa kwanini huwa hawapati hiyo nafasi ?. Hivi mara ya mwisho mikia kushiriki mashindano ya kimataifa ilikua lini ?, na kwanini huwa hawashiriki mara kwa mara kama wenzao ?hao wangekutana na mnyama wangepigwa kumi.
hao wangekutana na mnyama wangepigwa kumi.
simba product
ndio lakini hauna nywele unatumika kunanilyuuuuuuuu
Yanga inatutoa kimasomaso watanzania hahahaa
Timu ya wananchi leo inaua
4-1
Inaonekana hii timu dhaifu mno, .... pengine kuliko Wau-Salam ya South Sudan.
Dak ya ngapi!!
Kila la kheir yanga afrika.
Al ahly shandi mliwafunga mangapi vile!!?