Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

hao wangekutana na mnyama wangepigwa kumi.
Sasa kwanini huwa hawapati hiyo nafasi ?. Hivi mara ya mwisho mikia kushiriki mashindano ya kimataifa ilikua lini ?, na kwanini huwa hawashiriki mara kwa mara kama wenzao ?
 
Jerry Muro ataongea leo hadi atazimia na alivyo na mbwembwe sasa.
 
hao wangekutana na mnyama wangepigwa kumi.

Mikia mtasubiri sana kushiriki michuano kama hii, timu yenu haina uwezo wa kupata nafasi hiyo hata mwaka huu. Jambo la kushangaza hamuishiwi maneno! Uwezo wa timu yenu ni kufunga goli moja tu kupitia kwa Okwi nje ya yard 18, akidhibitiwa huyo Okwi mnaambulia 0-0, sasa hivi unaota kuwafunga Platinum goli 10! Majanga!
 
Back
Top Bottom