Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

Vipinzani vya Tanzania vingi ni vitoto, limbukeni, na vyenye mihemuko ya kijinga.
 
Acheni kejeli, ni JPM ni mpendwa wa wengi, acheni wamuoge ili wapate closure, kama mnaona wivu sana mwambieni Lissu na yeye afe aagwe na mashoga zake huko Belgium.
Yaani watu kumpa heshima Marehemu umeshatafsiri kuwa Marehemu alikuwa anapendwa?
Lini mtatofautisha mambo ya kisiasa/uongozi na mambo ya kijamii kama vile kifo?
 
Mwisho atanuka sasa mkuu watu wakimbie, angekuwa hai angewazaba makofi coz mnamdhalilisha kwakuwa kashakata ringi.
Wanaonuka kizembe ni walala hoi wanaokufa kibudu, watu wanakalishwa hata mwezi seuze huyu wa wiki kadhaa? Huu muda unaotumia kuzurura humu jF ungeutumia kutafuta hela Ili siku ukifa usife kibudu ukanuka ndani ya siku moja, tutakufukia kama mbwa. Tafuta hela.
 
Yaani watu kumpa heshima Marehemu umeshatafsiri kuwa Marehemu alikuwa anapendwa?
Lini mtatofautisha mambo ya kisiasa/uongozi na mambo ya kijamii kama vile kifo?
Hayo majitu sijui kichwani mwao wamejaziwa kitu gani badala ya ubongo.

Wengine jana msibani walikuwa wamevalia makijani yao utadhani wanaenda kwenye kikao cha cc ya ccm.

Wengine wakalipuka na ccm ccm ccm ccm ,nilishangaa sana hapa Jamhuri stadium Dodoma.
 
Daaah kwa hizi akili za kijinga hivi, sijui tu[emoji28]. Kwahiyo wewe hapa Duniani hupaswi kufanya kitu kwakua utakufa? Nikukumbushe tu kitu kimoja, hapa duniani uwe mwema kwa watu kupita kiasi kama malaika,Uwe katili mwenye roho mbaya (kama mnavyomuita Magufuli), kukikubwa kufa utakufa tu.

Kwa hoja yako hiyo ni sawa na kusema,Magufuli amekufa kwasababu alikuwa anawatumbua watu huku akifurahia.Jiulize, kwakua wewe hutumbui watu, na si katili kama Magufuli, hautakufa?Kama jibu ni kwamba utakufa, Jiulize tena, nini faida ya huo upole wako Sasa hapa Duniani ?[emoji23]

Chamsingi tafuta hela,muombe Muumba wako, angalau ufaidi maisha ukiwa hapa Duniani Ili unapofikwa na mauti basi usife kibudu ukafukiwa kama mbwa.
 
Nchi ilipokuwa haina ndege tuliponda
Wamenunua tunaponda

Ova
Hata huyu aliyepo akiirudisha nchi katika ile misingi a Kikwete, utaona tena nyuzi humu za kulalamikia kuwa analea sana watu[emoji28]. Yani huwezi ridhisha wote mkuu, nilichogundua muda mwingine unapokuwa kiongozi unatakiwa ufunge vioo uchape kazi bila kusikiliza maneno maneno.

We angalia tu saivi, Samia hana hata wiki mbili kwenye mamlaka tayari kila mmoja anataka kumpangia cha kufanya. Hawa wanakuja na hiki, huyu anashauri hivi yaani taaabu tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…