Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
I wonder, wanawaongezea muda wa maumivu tu ndugu zakeHivi kwann wasimzike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I wonder, wanawaongezea muda wa maumivu tu ndugu zakeHivi kwann wasimzike.
Unaota wewe, umeangalia maombolezo ya dar wewe ?
Eeee Mungu tazama hiki kizazi kinavyosifu Msafara wa mtu aliefariki...halafu watu wakifurahi kwa sababu kafa magufuli munawakamata nyie hizi munazofanya sio sifa au sio sherehe kusherehekea watu wamejitokeza kila sehemu kulipotu?
Shughuli ya kuaga bado inaendelea...Maelfu ya Wakazi wa Zanzibar leo wameuaga mwili wa Hayati John Pombe Magufuli kwa heshima kubwa huku wakifurika barabarani....
Maelfu ya Wakazi wa Zanzibar leo wameuaga mwili wa Hayati John Pombe Magufuli kwa heshima kubwa huku wakifurika barabarani....
Uchaguzi mkuu 2020, sitakaa niusahau.Kazi aliyoifanya Magufuli sio ndogo, wacheni Watanzania wamlilie, waacheni wampe heshma ya mwisho maana ndio mwisho wa kumuona...
Yaani tuna tumia nguvu kubwa sn kuonyesha kuwa alikuwa anapendwa kumbe ni aibu tupuSasa kwa akili zako unadhani mtu aliyekuwa rais akipitishwa barabarani amekufa raia hawatajitokeza kwa wingi kushuhudia tukio hilo?
Uchaguzi mkuu 2020, sitakaa niusahau
Kumbe ni mashindano ya mkoa upi utatoa watu wengi barabarani,ndio maana mnamtembeza Hayati JPM kama mwenge?Maelfu ya Wakazi wa Zanzibar leo wameuaga mwili wa Hayati John Pombe Magufuli kwa heshima kubwa huku wakifurika barabarani...
Kumbe msiba mashindano.Maelfu ya Wakazi wa Zanzibar leo wameuaga mwili wa Hayati John Pombe Magufuli kwa heshima kubwa huku wakifurika barabarani...
Kumbe ni mashindano ya mkoa upi utatoa watu wengi barabarani,ndio maana mnamtembeza Hayati JPM kama mwenge!!???
Chukua Cocacola mbili na Fanta tatu mwana natuma hela na ya kutolea just send the numberMnahangaika sana na marehemu muacheni aende, watu kujitokeza kumuaga msitafute visingizio, uwanja wa uhuru wamekanyagana wamekufa RIP, hawakupelekwa na lumumba wale.
Ili upinzani uwe na maana, sio kupinga kila kitu hata kwa hoja za kitoto, vingine nyamaza vipite tu.
protocol hazibadiliki. utaratibu wa nchi haubadiliki eti sababu kiongozi alikuwa wa dini fulani. nope.Naomba nitoe ufafanuzi tumepitia Post mbali mbali hapa kwenye jukwaa tumeona watu wengi wakihojii kwanini hatumpumzishi mpendwa wetu..