Yaliyomfika Rais Ali Hassan Mwinyi katika utawala wake 1985 - 1995

Sasa ww kwa kua umeandika kitabu ndio tuamini maneno yako na mtazamo wako wa kibnafsi....!!!
UDINI MZIGO.........hasa hizo dini za wakoloni wa kiarabu na kizungu
 
Mzee acha unafiki......wewe ni kibaraka wa kupromoti tamaduni za waarabu na dini za waarabu.....Ndio maana unawakashifu watu wa imani zingine indirect.
 
Sasa ww kwa kua umeandika kitabu ndio tuamini maneno yako na mtazamo wako wa kibnafsi....!!!
UDINI MZIGO.........hasa hizo dini za wakoloni wa kiarabu na kizungu
Nelson...
Si lazima kuniamini kwa kuwa nimeandika kitabu.

Lakini kuandika kitabu kinadhihirisha elimu na ujuzi wa mwandishi.

Hicho ulichoweka ni mswada wa kitabu bado hakijachapwa kuwa kitabu.

Akili yako ndiyo itakayoamua kama niliyoandika ni upuuzi au ni elimu.
 
Ndioo,udini,udini, udini,hilo ndio tatizo kubwa,ila mleta mada akivua hiyo miwani ya udini,kuna mengi atayaona.
Yve...
Ningekuwa naandika mafundisho nisingefika mbali.

Nimeandika historia ya Waislam wa Tanganyika walivyopambana na Wakoloni.

Historia hii haikuwapo.

Kitabu kilipochapwa kikawa kimeongeza elimu katika historia ya Tanganyika.

Wengi wameumia roho zao kwa kuwa hawakupenda historia hii iwe sehemu ya historia ya Tanzania.
 
Historia inayobagua watu kwa imani zao.
 
Hii inasisimua
Tusaidie kuiona hiyo barua tuwee kuisoma pia
 
Bangusilo
 
Shida kubwa mzee wangu kila kitu unakihusisha na uislam naona kuna shida kubwa hapo. Nadhania ndio mjumbe hapo akkatumia neno uchawa.
 
Mzee wangu wewe ni mfano mzuri wa mwafrika ambae bado ni mtumwa wa wakoloni wa kiarabu kuanzia elimu na imani mpaka utamaduni........!!!
Elimu uliyonayo ni kuwakosoa watu waliokataa utamaduni na dini za kiarabu hapa afrika mashariki
 

Mm nadhani unajifariji kwa kudhani watu wanaokataa hoja zako kua wanaumia!!!!!
 
Nelson...
Faraja yangu ilifika kilele siku nilipozungumza historia ya uhuru wa Tanganyika Northwestern University, Chicago.
Ulizungumza au ulidanganya na watu wakawa wanakutazama tu wapime upeo wa dhamira zako.
Maana toka vurugu za mwembe chai.....dhamira yako uliiweka wazi kuifanya Tanzania kua jamuhuri ya kiislamu na kuweka utamaduni wa kiarabu kwenye utamaduni wetu wabantu....!!
NB: TUNAJUA UMESAFIRI NA SISI TUMESAFIRI PIA.....AU UNATAKA TUTAMBIANE HAPA KILA MMOJA ALIPOSAFIRI..???
 
Nan...
Ingia kwenye name index ya kitabu cha Abdul Sykes na kagua majina kisha rejea hapa ueleze ulichoshuhudia.

Kisha nenda kwenye kitabu cha historia ya TANU cha Chuo Cha CCM Kivukoni.
Kwa nini nijisumbue kiasi hicho?Unachokiongea mbona kiko wazi sana.Kwako viongozi wa Kiislam ndo viongozi wazuri na walioleta maendeleo katika nchi hii na hawakufanya maovu.Wakikosea.unasema.wanasakamwa kwa ajili ya uislam wao.No.wonder ukasema ushindi wa dp world ni ushindi wa ccm na waislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…