Kweli kabisa, Mungu atatulindaMi nilichomwa Astrazenica,siku ya kwanza nilikuwa poa,ya pili nilihis homa kidogo na kichwa lakini nilikuwa sinywi dawa,baadae nikaamua ninywe paracetamol nikawa poa tu.Wife kapata Moderna ye yupo poa,ivo inategemea na mwili wa mtu sababu kitu kipya kinaingia mwilini.lakin nashkuru nimejikinga,mengine tutaomba Mungu, we have done our part.
Hata nikiwa zombie fresh tu,nyie chomeni tu mkiwa mazombie shauri yenu😜😜
Natania tuu mkuuHata nikiwa zombie fresh tu,
Huyo Yesu wenu wenyewe alishindwa kujiokoa,wakamshambulia Kama kibaka !!atawaokoa nyie ?!Matatizo ya kujitakia. Poleni sana.
YESU NI MWOKOZI.
Me cheti nilipewa jana jioni kupitia email, kama ulifanya booking online watakutumia kwa email. Kama ulifanya manually nadhani inabidi ukafatilie ulipochomeaHata mi niko freeesh tu, hamna kitu ila nilisahau kuuliza sijui nimechanja ipi. Cheti watanipigia simu nitaenda kuuliza chanjo gani nimedungwa ? Hafi mtu hapa
Kumbe hata nikitumia diclopar haina shida maana maumivu bado ninayo. Tena nahisi jioni hali inaweza nibadilikiaNiliumwa kichwa kwa siku mbili mfululizo. Tena haswa. Mama kidogo. Hakikua kinasikia hata panadol. Diclopar ndo iliniiokoa. Am now good. Siku 2 tu kilinisumbua.
Hasira za nini sasa? Wewe ni ndondocha ni ndondocha tu. Utafanya nini sasa? Ujua hata hayo matusi ni madhara ya chanjo? Poleni sana. Ageni kabisa famlia zenu maaana hamfahanu kama mtaweza kukumbuka kitu au kuandika wosia.Mapimbi na misukule ya Gwaji boy bado mpoo kumbe?
Hata mimi nilidungwa jj sikujisikia chochote!Duh!
Mbona Mimi nimechoma tarehe 13 August na sijahisi chochote Cha ajabu zaodi ya kaganzi flani kwa mbaali kwenye bega pale nilipochomea sindano ambayo ilidumu kama siku tatu au nne tu ikapotea na mpaka sasahivi Niko fiti na hata siku niliyochoma hiyo chanjo kazi nzito za kutumia nguvu nilikuwa nafanya Kama kawaida.
Anyway Kama ni kweli Basi pole Sana na hongera kwa uamuzi wa kupata chanjo.
Hujui unachokisema, yani homa inayokuja siyo ya kitoto na hiyo baridi ndo usisemeUnachoumwa ni hofu tu jiamini acha woga
Wabongo movie za dj afro zimeshawadanganya.Waliochanja wakigeuka mazombi hii dunia haitakalika,na itokee waliochanja wakazaa mavampaya sijui itakuwaje.
Ukiumwa hua hauendi Hospitali kutibiwa?Matatizo ya kujitakia. Poleni sana.
YESU NI MWOKOZI.
Kesha iingiza ubovu mwilini mwake, muda ndiyo utaongea,kwa Sasa bado mapema mno kuona madhara yajayo!! Lakini asanteni sana kwa kujitolia na kukubali kufanywa kua majaribio ya Chanjo bila malipo, huo ndiyo uzalendo hasa,mmewapita hata Wanajeshi wanaoenda vitani, mmeamua kujivisha mabomu ya Chanjo!!Mimi tulienda wawili kuchoma mimi sikupata shida mwenzangu kichwaa kiliuma usiku kucha baridi kutetemeka na kutoka jasho ilikua jumatano ila leo ni mzima.