Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

Dah pole sana. Mimi huwa sisaidii mtu, nina roho ngumu. Binaadamu tulivyoumbwa ni kupambana na siyo kusaidiwa. Ukimsaidia binaadamu unaenda kinyume na uumbaji na inakuwa laana. Bora utoe sadaka basi.
 
Sasa Mkuu 520k ndo unalalamika hivyo
Ungesoma vizuri ungeelewa mantiki ya huu mkasa uliompata jamaa. Tatizo siyo amount ya pesa iliyoibiwa. Ni tabia za mtu kuwa mwizi tena kwa mtu ambaye siku zote amekuthamini na kukuheshimu na kukusaidia wakati ukiwa na shida. Huyo jamaa ni tabia mbaya ya uwizi na uwongo. Hata ingekuwa elfu tano imeibiwa, siyo fresh kuwa mwizi tena kumwibia jamaa yako ambaye amekuwa akikusaidia siku zote.
 
Yani mtu anakudokolea pesa ila bado unamuendekeza tu, siku ungekuta amesafisha geto zima zingekukaa sawa
 
Daah pole mie kisa changu ni chakichawi .
Nimeamini marafiki nimewasaidia hadi na sasa sijaolewa , sijafika nitakako kisa wao mtu anakuchukulia nyota yako ili aolewe ,ili awe na biashara kubwa na nzuri , ili aende kufanikisha kila atakalo yeye anakiacha huna mbele wala nyuma unakwama hadi unatafuta wanaume mitandaoni na huku mimi sikuwa napendwa na watu hoi hoi ni vifaa kweli .
So maisha ndio hayoo . Niliewekewa kizuzi nisiolewe , nisiwe naufahamu wakuwa umri unasonga .

Walahi saivi siitaji marafiki kwasasa hujui adhari zao hadi ukwame ndio ujue .

Kazi nilikuwa napata haraka sana napendwa nakuaminika .

Ee mola niepushe na hao marafiki sitaji marafiki .
Walahi
 
Huyo ni masikini sana hawezi nunua, wee unaona aogopa hela kuiweka kwenye simu au benki akiogopa makato.
 
Nilisema mimi
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]

 
Wanakuloga tena?wewe mboni mwanamke mrembo,jiamini utapata mtu.
 
Ile Mimba uliyotoa ndo ilikupa laana
Ogopa kuua mtu asiyekuwa na hatia Pathetic unabidi kwenda kwa Mganga wa kienyeji akuoshe na upupu ili uo mkosi utoke trust
 
Kwa iyo hadi leo nyota zako hazijarudi
 
Kwaiyo Bado hujaolewa? Mume nipo apa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…