Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

Mambo ya wanaume wawili kukaa geto
Ishapitwa na wakati
Jamaa amechelewa sana! Angekuwa anakaa na manzi, muda huu angekuwa na watoto wawili, wangekuwa wana kiwanja chao huko Chanika, nk!

Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena. Dunia ya mabalaa hii unapataje ujasiri wa kuishi geto na kidume mwenzako!!! Mambo ya zamani sana haya.
 
Haya makitu yaliwahi kunikumba, nilimhifadhi mdogo wa rafiki yangu aliniibia vitu vingi balaa.
Mqisho nilimwekea mtego na kunasa.

Nilipiga sana na watu walitaka kumchoma moto nikazuia
 

Yani laki 5 tuu ndo umeandikia mwana gazeti lote hili? Maana hizi ni kurasa za gazeti lote la Mwananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…