Yeye kila kitu anakijuaKuna viumbe vinakera kinyama...angepita kimya kuna kitu kingepungua!! Fwala sana yule
hahahaNimecheka sana mkuu!! Sio kiislam sema kiarabu na kuna tofauti kubwa kati ya uarabu na uislam na Poa niambie kuna utamaduni na imani, waafrika wengi hudhani kwamba uislam and ni pamoja na utamaduni wa kiarabu! Au ukristo ni pamoja na kuvaa kizungu yaani suti na tai! Ni mada nndefu inahitaji uzi wake
Haaaa haaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwahiyo arudi pale pale !Au aliweka macho yale ya kubandika hukumuona vizur wewe,rudi ukamuangalie tena
Kuna 1 yalibeba power akabaki empty ikabidi aanze kutubu[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha..yanawakutaga kaka zetu hawakomi tu kuokota wanawake ovyo
Abaki kua mjuaji..uzi unamkera apite kimyakimyaYeye kila kitu anakijua
Mambo?Mmmmmm
Hanitakii mema huyoHaaaa haaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwahiyo arudi pale pale !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] power zenye uhusiano na mkuyege?Kuna 1 yalibeba power akabaki empty ikabidi aanze kutubu[emoji16][emoji16][emoji16]
Jini ana uwezo wa kujibadilisha kuwa binadam lakin kamwe hawezi akabadilsha macho yake yakawa na kiini cheusi kama macho yetu. Mim pia nilikutana nae lakin kabla sijakaribiana nae mwili ulisisimka, nikajua tu hapa kutakuwa na kitu kibaya. Na kweli nilipomuona na akagundua kuwa nimemuona macho yake alitoweka ghafla sijui hata huwa wanayeyukia wapi. Utachangaa tu anaanza kupotea taratib Mara ghafla humuoni. Sehem zenye watu wengi huwa wanapenda sana kujumuika na binadamuHabari zenu wana Jf
Nianze na mkasa ulionikuta jana..mida flani hivi nilienda kariakoo na Dada yangu..katika mizunguko yetu yeye alikua mbele mimi nyuma
Sasa si mwajua kariakoo ilivyo na watu wengi..nikiwa katika mshangao wa kushangashangaa nguo ghafla nikapigana kikumbo na mdada amevaa baibui ameziba macho kama avatar ya madame s
Yani nikaganda ghafla uku nikimuangalia tu..akafika mbele akageuka..lahaullah!! Macho ya yule dada sikuyaelewa hata kidogo alafu yalikua hayatulii kile kiini cheusi kinafanana na kiini cha paka
Nikasema hapana sikuamini nilichokiona nikageuka kuangalia mbele huku nikijiuliza kama yule ni mtu
Nikageuka tena nyuma alikua amefika mbali lakini bado aliponiangalia macho yalikua vilevile...ghafla Dada akaniita jina langu nikaitikia "aliniuliza vipi mbona umesimama tu hapo" sikumjibu kitu
Nikageuka kwa mara ya mwisho sikumuona tena yule dada
Yani nilinyon'gonyea hadi tunatoka kariakoo bado najiuliza..hivi nilikutana na jini ama kuna binadamu wenye macho ya vile!!!
Hayo ndio yaliyonikuta siku ya jana mwenzenu
Nilikua nasikiaga tu kariakoo wapo wengi...sikua naamini..ndio juzi yakatokea yakutokeaJini ana uwezo wa kujibadilisha kuwa binadam lakin kamwe hawezi akabadilsha macho yake yakawa na kiini cheusi kama macho yetu. Mim pia nilikutana nae lakin kabla sijakaribiana nae mwili ulisisimka, nikajua tu hapa kutakuwa na kitu kibaya. Na kweli nilipomuona na akagundua kuwa nimemuona macho yake alitoweka ghafla sijui hata huwa wanayeyukia wapi. Utachangaa tu anaanza kupotea taratib Mara ghafla humuoni. Sehem zenye watu wengi huwa wanapenda sana kujumuika na binadamu
Huwa wanapendelea saaaana kuwafata wanawake kuliko wanaume,mi nilikutana nae kwa dharura tu ilikuwa kwenye daladala,alilipa nauli ya kwenda mpaka mwisho wa gari lakin nilipomgundua Tu alishuka kituo kilichofata. Alikuwa kavaa mawan tinted,sasa wakat anafuta jasho na kutoa mawan ndo nikamuona na alionsha hali ya kustuka baada ya kumuonaNilikua nasikiaga tu kariakoo wapo wengi...sikua naamini..ndio juzi yakatokea yakutokea
Inaonekana una uzoefu na majiniJini hilo pole sana
Likizo time mkuuKila mtu akisimulia yaliyomkuta jana itakuwaje?wale wa chooni, kitandani, uchochoroni..rubbish tu!!
Daaa!!!! UnawezaJini ana uwezo wa kujibadilisha kuwa binadam lakin kamwe hawezi akabadilsha macho yake yakawa na kiini cheusi kama macho yetu. Mim pia nilikutana nae lakin kabla sijakaribiana nae mwili ulisisimka, nikajua tu hapa kutakuwa na kitu kibaya. Na kweli nilipomuona na akagundua kuwa nimemuona macho yake alitoweka ghafla sijui hata huwa wanayeyukia wapi. Utachangaa tu anaanza kupotea taratib Mara ghafla humuoni. Sehem zenye watu wengi huwa wanapenda sana kujumuika na binadamu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Aaaahh! Demi nitake radhi...mimi ke bana
Nimefanyaje tena???Ai babu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kule mie napataga shida kweli kupishana kama dagaa baharini, huwa naenda na kitu nikifuatacho basi, pole tenaAhsante ndugu
Habari yangu iko poah mbona huonekani?Mambo safi
Habari ya wewe
Kwakweli, kama mwenge napo wana pasimuliaga sanaHanitakii mema huyo