mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
[emoji23][emoji23][emoji23] poleni sana.Hakika alikuwa jini yule maana alipotea ghafla alafu cha kushangaza tunaonana wakaka wanakimbia tukasema haya sasa ikabid tutoke ndukiii
Tulipoa mamy umenikumbusha mkasa wa jini la kikeee kunyosha mkono mrefu mpaka kwenye switch kuzima taaa[emoji23][emoji23][emoji23] poleni sana.
Mmmmhh!! Aiseeee watu wanaotembeaga usiku wa manane wanakutanaga ni mitihani balaaHahahhaa me hata niqab situmii kwa kweli, yeah wapo wanaoumwa nakumbuka nina ndugu yangu msim wa mpira mkasa ulitokea miaka ya nyuma kidogo, alienda cheki mpira na watoto wa baba angu mdogo, ilikua usiku karibu saa nane hivi ndoo wanarudi home, walipoenda kucheki na home n mwendo wa nusu saa tu sasa kuna msikiti yule kaka akasimana wenzake wakamuuliza vipi mbona umesimama akasema kule mbele naona watu wawili mwanamke na mwanaume wamesimama wananiangalia macho yao yamekaa kama pembe tatu wenzake wakamwmabia acha wenge twende bwana hatuwaoni akapita kiroho ngum wakapishana kabisa asubuh kuongea hawezi kama vile mtu aliepooza mama ake alapandisha akasema huyu kakutana na viunbe s wa kawaida ikabidi wenzake waseme ndio kusomewa na kutibiwa akawa sawa haya mambo yapo
Twende woteAu aliweka macho yale ya kubandika hukumuona vizur wewe,rudi ukamuangalie tena
[emoji23][emoji23] bora umwambieHujakoma na banned..ngoja tukurudishe kifungoni miezi 6 ndo akili ikae sawa mana naona hauko vizuri kichwani
Lile ke linaanza nidondokea ke mwenzie banaLazima litakuwa limekudondokea
Hahahaha..yanawakutaga kaka zetu hawakomi tu kuokota wanawake ovyoTulipoa mamy umenikumbusha mkasa wa jini la kikeee kunyosha mkono mrefu mpaka kwenye switch kuzima taaa
Mweeeee.Hahahhaa me hata niqab situmii kwa kweli, yeah wapo wanaoumwa nakumbuka nina ndugu yangu msim wa mpira mkasa ulitokea miaka ya nyuma kidogo, alienda cheki mpira na watoto wa baba angu mdogo, ilikua usiku karibu saa nane hivi ndoo wanarudi home, walipoenda kucheki na home n mwendo wa nusu saa tu sasa kuna msikiti yule kaka akasimana wenzake wakamuuliza vipi mbona umesimama akasema kule mbele naona watu wawili mwanamke na mwanaume wamesimama wananiangalia macho yao yamekaa kama pembe tatu wenzake wakamwmabia acha wenge twende bwana hatuwaoni akapita kiroho ngum wakapishana kabisa asubuh kuongea hawezi kama vile mtu aliepooza mama ake alapandisha akasema huyu kakutana na viunbe s wa kawaida ikabidi wenzake waseme ndio kusomewa na kutibiwa akawa sawa haya mambo yapo
Sanaa ndio mana usiku tunatakiwa kupumzika sie binadam viumbe wengine ndio muda wao huoMmmmhh!! Aiseeee watu wanaotembeaga usiku wa maneno wanakutanaga ni mitihani balaa
Eh haya mambo yapoMweeeee.
Ila kuna majini wengine wanawahi sana matembezi yao..kuna mdogo angu wa kiume alikutana nao mara mbili wote wa kike..saa mbili usiku hata haukua usiku mneneSanaa ndio mana usiku tunatakiwa kupumzika sie binadam viumbe wengine ndio muda wao huo
Wengine hata mchana mama. Kuna schoolmate wangu mmoja sijui alishaponaga maskini maana aliteseka. Nae alikumbana na jini kwenye daladala. Lile jini lilikua linamfuata mpaka shuleMmmmhh!! Aiseeee watu wanaotembeaga usiku wa maneno wanakutanaga ni mitihani balaa
Kila mtu akisimulia yaliyomkuta jana itakuwaje?wale wa chooni, kitandani, uchochoroni..rubbish tu!!
Kwani mchezo wa kusagana ulikwisha hapa dunianiLile ke linaanza nidondokea ke mwenzie bana
Mmh mtihani mbona hadi shule..majini mengine sijui vipi..kutesana sio poaWengine hata mchana mama. Kuna schoolmate wangu mmoja sijui alishaponaga maskini maana aliteseka. Nae alikumbana na jini kwenye daladala. Lile jini lilikua linamfuata mpaka shule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani mchezo wa kusagana ulikwisha hapa duniani
Utawafuata wenye hiyo tabia ya kukoboanaKwani mchezo wa kusagana ulikwisha hapa duniani
hahaaaa umekenua meno yote kumuona bwana wako Empty setHujanitag