Yaliyonikuta jana!!

Yaliyonikuta jana!!

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Hahahhaa me hata niqab situmii kwa kweli, yeah wapo wanaoumwa nakumbuka nina ndugu yangu msim wa mpira mkasa ulitokea miaka ya nyuma kidogo, alienda cheki mpira na watoto wa baba angu mdogo, ilikua usiku karibu saa nane hivi ndoo wanarudi home, walipoenda kucheki na home n mwendo wa nusu saa tu sasa kuna msikiti yule kaka akasimana wenzake wakamuuliza vipi mbona umesimama akasema kule mbele naona watu wawili mwanamke na mwanaume wamesimama wananiangalia macho yao yamekaa kama pembe tatu wenzake wakamwmabia acha wenge twende bwana hatuwaoni akapita kiroho ngum wakapishana kabisa asubuh kuongea hawezi kama vile mtu aliepooza mama ake alapandisha akasema huyu kakutana na viunbe s wa kawaida ikabidi wenzake waseme ndio kusomewa na kutibiwa akawa sawa haya mambo yapo
Mmmmhh!! Aiseeee watu wanaotembeaga usiku wa manane wanakutanaga ni mitihani balaa
 
Hahahhaa me hata niqab situmii kwa kweli, yeah wapo wanaoumwa nakumbuka nina ndugu yangu msim wa mpira mkasa ulitokea miaka ya nyuma kidogo, alienda cheki mpira na watoto wa baba angu mdogo, ilikua usiku karibu saa nane hivi ndoo wanarudi home, walipoenda kucheki na home n mwendo wa nusu saa tu sasa kuna msikiti yule kaka akasimana wenzake wakamuuliza vipi mbona umesimama akasema kule mbele naona watu wawili mwanamke na mwanaume wamesimama wananiangalia macho yao yamekaa kama pembe tatu wenzake wakamwmabia acha wenge twende bwana hatuwaoni akapita kiroho ngum wakapishana kabisa asubuh kuongea hawezi kama vile mtu aliepooza mama ake alapandisha akasema huyu kakutana na viunbe s wa kawaida ikabidi wenzake waseme ndio kusomewa na kutibiwa akawa sawa haya mambo yapo
Mweeeee.
 
Sanaa ndio mana usiku tunatakiwa kupumzika sie binadam viumbe wengine ndio muda wao huo
Ila kuna majini wengine wanawahi sana matembezi yao..kuna mdogo angu wa kiume alikutana nao mara mbili wote wa kike..saa mbili usiku hata haukua usiku mnene
 
Mmmmhh!! Aiseeee watu wanaotembeaga usiku wa maneno wanakutanaga ni mitihani balaa
Wengine hata mchana mama. Kuna schoolmate wangu mmoja sijui alishaponaga maskini maana aliteseka. Nae alikumbana na jini kwenye daladala. Lile jini lilikua linamfuata mpaka shule
 
Mmh mtihani mbona hadi shule..majini mengine sijui vipi..kutesana sio poa
 
Back
Top Bottom