Yaliyonikuta jana!!

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
SIONGEI NA MBWA NAONGEA NA MWENYE MBWA. NA MBWA UKIMJUA JINA HAKUPI TABU.
 
ENDELEA KUFUATILIA MAISHA YA WANAUME WENZIO NAJUA FIKA UNAFUNGUA PROFILE ZA WANAUME WENZIO UNACHUNGULIA NA UNACHOCHUNGULIA AMA KUTAFUTA HAKIJULIKANI, HIZI NI TABIA ZA KIKE
HII NI FORUM HURU NDIO MANA KUNA UHURU WA KUTOA HABARI YOYOTE UNAYOJISKIA KUTOA, KAMA UNAVYOTOA WEWE HABARI LAKINI SIO MAHALI PA KUANDIKA UCHAFU WA MANENO UNAYOOANDIKAGA KILA KUKICHA KUTAFUTA UMAARUFU SIJUI UNAMTAFUTIA NANI UMAARUFU, LABDA WANAWAKE ILI UPENDWE LAKINI ATAKUA MWANAMKE MPUMBAVU AMBAYE ATAKUA ANAKUBALI MATUSI NA UCHAFU UNAOANDIKAGA HUMU UKIWA QUOTE WATU NDIO.MANA SISHANGAI BANNED KILA MARA HIO TU INASADIKI AKILI YAKO ILIVYO, NARUDIA KUSEMA MBWA UKIMJUA JINA HAKUPI SHIDA HATA AKIBWEKA HADI KOO LIKAUKE ATABAKI MBWA TU NA UKIMUITA ANAITIKA MANA ANAJIJUA NI MBWA..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni sana...napata picha mbio mlizokua mnazitoa na ule mchanga wa beach ilikuaje

Mkuu, kwenye hatari kama hiyo mtu huwa anapata nguvu za ajabu, anakimbia balaa mpaka unayemtazama unaweza kushindwa kujua ni me au ke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…