D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
- #121
Hilo pia lawezekanaInawezekana ameweka lens za kwenye macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo pia lawezekanaInawezekana ameweka lens za kwenye macho
Hata mimi sijaamini kama kweli nimekutana na kitu cha namna ileShem mimi siaminigi hivi vitu...yani sijui nipoje aisee
Ndio..alikua ananukia marashi..ingawa sishangai suala la kunukia marashi sababu asilimia nyingi za wadada wanaovaa baibui wananukiaga ivyoInaeza ikawa ni jini kweli! Vipi lilikua linanukia marashi makali?
Nilikula bana naweweHilo nalo la muhimu sana.
Huyo ni mwigizaji tu aliweka kile kiini bandia,hata wewe ukitaka kuweka vipo vingi tuHata mimi sijaamini kama kweli nimekutana na kitu cha namna ile
Unamaanisha??Na mara nyingi vinawatokea wanaoviamini.
Yes natambua hilo..ila lensi hua zina chezacheza eeh?Lakini unatambua kwamba siku hizi wanawake wanaweka lens tofauti tofaut machoni ?
Ukiamini uwepo wa hivyo viumbe lazima vikutokee kweli.Unamaanisha??
Fursa ya nn?Ulipoteza fursa mkuu
Lenyewe ilo!Ndio..alikua ananukia marashi..ingawa sishangai suala la kunukia marashi sababu asilimia nyingi za wadada wanaovaa baibui wananukiaga ivyo
Unamaanisha wataka uwe unawaona ?Da kuna mbinu za kufanya na sisi tuwaone hai si ndio wale viumbe wazungu wanasema vimetoka sayari jirani huko.
Mwanamke anaweza kujipamba akabadilisha kila kitu kwenye uso wake..nyusi..kope..lenzi..poda..wanja wa kuchora au masinzi.Hilo pia lawezekana
Hapana zinafit kama macho halisi.Yes natambua hilo..ila lensi hua zina chezacheza eeh?
Navifahamu ivyo viini...hata hivyo hakuniumiza kichwa sana sababu nlipotezeaHuyo ni mwigizaji tu aliweka kile kiini bandia,hata wewe ukitaka kuweka vipo vingi tu
Kufunga hapanaBas vizuri
Nkajua umefunga
Naamini vipo ila sio vya kuonana navyo liveUkiamini uwepo wa hivyo viumbe lazima vikutokee kweli.