D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
-
- #141
Ndio yaani nikutane nao nakama wanaongea tuwe tunapiga stori kabisaUnamaanisha wataka uwe unawaona ?
Inawezekana pia ikawa ivyoMwanamke anaweza kujipamba akabadilisha kila kitu kwenye uso wake..nyusi..kope..lenzi..poda..wanja wa kuchora au masinzi.
Mwisho wa siku ukajiuliza umekutana na jini au binadamu.
Pole mkuu
Ungemfata ungeyajua mengi ya siriniFursa ya nn?
Vya yule dada vilikua havitulii..kama mtu aliemwagiwa mchanga machoniHapana zinafit kama macho halisi.
Kidogo lingefanania hivi eeh?Labda
Ila hyo avatar yako..duh!!
Huyo ni jini au?
Pressure zako tuVya yule dada vilikua havitulii..kama mtu aliemwagiwa mchanga machoni
Hapana kwakweli...sikua na sitokua na ujinga huoUngemfata ungeyajua mengi ya sirini
pole sana mkuu hilo ni jini na lilikupenda leo lazima ule mzigoHabari zenu wana Jf
Nianze na mkasa ulionikuta jana..mida flani hivi nilienda kariakoo na Dada yangu..katika mizunguko yetu yeye alikua mbele mimi nyuma
Sasa si mwajua kariakoo ilivyo na watu wengi..nikiwa katika mshangao wa kushangashangaa nguo ghafla nikapigana kikumbo na mdada amevaa baibui ameziba macho kama avatar ya madame s
Yani nikaganda ghafla uku nikimuangalia tu..akafika mbele akageuka..lahaullah!! Macho ya yule dada sikuyaelewa hata kidogo alafu yalikua hayatulii kile kiini cheusi kinafanana na kiini cha paka
Nikasema hapana sikuamini nilichokiona nikageuka kuangalia mbele huku nikijiuliza kama yule ni mtu
Nikageuka tena nyuma alikua amefika mbali lakini bado aliponiangalia macho yalikua vilevile...ghafla Dada akaniita jina langu nikaitikia "aliniuliza vipi mbona umesimama tu hapo" sikumjibu kitu
Nikageuka kwa mara ya mwisho sikumuona tena yule dada
Yani nilinyon'gonyea hadi tunatoka kariakoo bado najiuliza..hivi nilikutana na jini ama kuna binadamu wenye macho ya vile!!!
Hayo ndio yaliyonikuta siku ya jana mwenzenu
Yako imezidi kutishaKidogo lingefanania hivi eeh?
Kama alivyotoka yule raia wa MaliUmepata fursa umeshindwa kuitumia kwa jinsi baba jesca alivyokaza bora kukutana na jini labda unaweza kutoka
Sio kwa style hiyo lakiniUmepata fursa umeshindwa kuitumia kwa jinsi baba jesca alivyokaza bora kukutana na jini labda unaweza kutoka
Bas SawaHapana kwakweli...sikua na sitokua na ujinga huo
Mmen'gan'gania kuliwa mzigo..khaa!!pole sana mkuu hilo ni jini na lilikupenda leo lazima ule mzigo
Ngoja aje anaweza kutufafanulia vizuriHuyo ni jini au?
Kila mtu akisimulia yaliyomkuta jana itakuwaje?wale wa chooni, kitandani, uchochoroni..rubbish tu!!