D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
- #201
Nawaza tu..tungekua tunaonana nao hivi live..yani ileile sijui ingekuajeKariakoo kuna majini na misukule mingi tu, uzuri hatuwezi yaona ila inatokea kama hivyo ndo unagundua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaza tu..tungekua tunaonana nao hivi live..yani ileile sijui ingekuajeKariakoo kuna majini na misukule mingi tu, uzuri hatuwezi yaona ila inatokea kama hivyo ndo unagundua
Ingekuwa kama movie ya mazombie. Alafu majini huwa wanavituko sana kama uyo uliekutana nae hivyo ni vituko tu kakuonyesheaNawaza tu..tungekua tunaonana nao hivi live..yani ileile sijui ingekuaje
Nahisi ningeendelea kumkazia macho angetoa kiulimi cha snake...lahaullah!!Ingekuwa kama movie ya mazombie. Alafu majini huwa wanavituko sana kama uyo uliekutana nae hivyo ni vituko tu kakuonyeshea
Hao huwa hawana madhara tena hao tunaapishana nao tu daily ila ndo vile hatutammbi. Sehemu za pwani wapo sana pia ila na misukule ipoNahisi ningeendelea kumkazia macho angetoa kiulimi cha snake...lahaullah!!
Mmh!! Kumbe dunia ni zaidi ya niijuavyo aiseeHao huwa hawana madhara tena hao tunaapishana nao tu daily ila ndo vile hatutammbi. Sehemu za pwani wapo sana pia ila na misukule ipo
Dunia ina mamboMmh!! Kumbe dunia ni zaidi ya niijuavyo aisee
Yu wapi?Huyo hapo kwako[emoji33][emoji33]
BalaaDunia ina mambo
nyuma yako hapo.[emoji27][emoji27]Yu wapi?
Una wengenyuma yako hapo.[emoji27][emoji27]
Mbalizi naye ana vituko vyakeKwenye ubora wako sasa namsubiri na Mbalizi1 [emoji23][emoji23]
[emoji23]Mbalizi naye ana vituko vyake
Siogopi banaHuyo anaogopa.
Pole.
naona umemfungashia package yake ......dah.....Kila mtu akisimulia yaliyomkuta jana itakuwaje?wale wa chooni, kitandani, uchochoroni..rubbish tu!!
Ndio mkuuKumbe mnapenda kutongozwa?