Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Sheria ya kulala na Mrax Lodge

1.Kabidhi vitu vyako vya thamani counter (mapokezi)

Kama huwezi

2.Mkiingia room jifanye wewe ni gentleman kuliko wote duniani,tandua kitanda vuruga vuruga hapo unajifanya unakung'uta vumbi yani unatandika upya maana hujaridhika na utandikaji wao. Wakati unatandika chomeka hela kwenye foronya zitandikie humo humo ndani ya godoro.

Kama huwezi

3.Mkiingia wakati wa hakikisha anaenda yeye kuoga wakwanza,wewe baki nyuma hela zako fisha kwenye suruali yake,yani weka kwenye mifuko ya suruali yake (akiamka usiku kuku search hawezi jisachi suruali zake)

AU

Kama ana kipochi chake kifungue chap chap ficha hela zako humo,kisha rudsha pochi yake huko hakikisha humruhusu ashike pochi yake mpka kesho asubuhi (akiamka usiku kusaka wallet yako hawezi search pochi yake)

Kama huwezi

4. Kwa kua umeshaonyesha wewe ni gentleman wa kwenda change position ya kitanda sogeza karibu na mlango sababu kuu iwe ni unaogopa utaibiwa maana unaujua huo mtaa kwa wezi,kaza mlango na kitanda (usiku labda atokee kwa dirishani)

Kama huwezi

5.Mrax haliwi romance wala halambwi mwili wake popote pale,mkiingia acha kujitia unayajua mahaba kenge wewe,linda mdomo wako na ulimi wako usionje chochote kile,piga mzigo Lala zako "mahaba waachie njiwa".

Unapokua vitani usijiachie usingizini lala kwa step maana kuna wengine ni ma PRO tekniki zote hizo na bado anaweza kukupga na kitu kizito.

Ili uwe salama njia ni 1 tu,Jisalimishe mapokezi kabidhi hadi roho yako mapokezi ukiingia room ingia bila hata roho,hawa viumbe wanawake (kahaba) sio watu ndio shetani mwenyewe huyo yani unamuona live live.
 
[emoji1787] [emoji1787] Mkuu ulikuwa na mali gani za thamani mpaka uweweseke hivyo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mpwa katika ubora wake. by the way hv ile story yako ya kule lindi iliendelea?... maana niliishia pale yule konda aliposema " imeisha hyo"
 
Unachukua malaya halafu unalala kama upo kwako!?

Ukiwwa na malaya unalala kisteling stelingi, jicho moja linalala moja liko macho, likilala hili, hili linaka macho, kikomando komando kama Arnold schwarznegger
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hakuna aliewahi kupambana na Hii biashara akashinda, Ndio biashara kongwe. hata yesu alikufa akaiacha.

Tulizeni mishono yenu nyie walokole uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…