Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

Ha ha ha..
Sahii kabisa
 
Chai kmekolea tangawizi sana hii .....yani uchukue malaya ulale kizembe ivo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mpwa katika ubora wake. by the way hv ile story yako ya kule lindi iliendelea?... maana niliishia pale yule konda aliposema " imeisha hyo"
Story ya lindi inaonekana ni very impressive kuliko dark days ya yoga
 
Hiyo namba 5 nimeielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…