Yaliyonikuta Ziwa Rukwa sitokaa niyasahau

Safari ya kuelekea ziwani ikaanza tukapita vijiji kadhaa ,.baada ya Saa nzima tukaingia nankanga Kijiji Cha mwisho kabla hujalifikia ziwa. Hiyo ilikuwa yapata Saa mbili hivi ,tulikatiza kwenye mapori yaliyoshona kweli kweli Kila muda nikawa nahisi
Endelea mkuu bado haijaisha

Hadi hapo umetuonyesha kwamba bangi ni bangue imesababisha maafa
 
Nyie watu wa kuleta mambo nusu nusu mnaznguaga sana.

Sifa ya uandishi, andaa mkasa wako pembeni, yaan andika kabla hujapost mtandaoni, Edit huko huko, pitia makosa yote ktk makala yako, hakikisha umefikia sehem ambayo stori yako imekamilika ndipo upost inform of series/parts or whatever utakavyotaka.

Mambo ya kukurupuka na kuanza kuandikia humu bila kujipanga ndio haya tunaona watu hammalizi haya mastori yenu.

Wengine wataishia kuita hii nayo ni CHAI..maana hamuelewekagi nyie[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mkuu nikiri wazi kwamba huko nilitoka miaka mingi sana zaidi ya 20, ninavyofahamu ukifika Ilemba unapita kijiji kimojawapo kinaitwa Solola kisha unafika kijiji cha Nankanga ambapo kipo ziwa Rukwa. Sasa naomba kuuliza ulipitia njia gani baada ya kutoka Ilemba maana unasema ulipita vijiji kadhaa? Au kuna njia tofauti siku hizi ya kupita ukishafika Ilemba?
 
Ukitoka ilemba unaambaa mashariki kuelekea lumbesa Kisha unakata humo ndani ya msitu Kuna vijiji vidogo wanakaa wasukuma na mifugo Yao na tulikuwa tunaenda Kambi ya kingoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…