Yaliyonikuta Ziwa Rukwa sitokaa niyasahau

Yaliyonikuta Ziwa Rukwa sitokaa niyasahau

Mshushe mshushe we mse...e. Nikagundua wale jamaa wako siliasi wanatuuua!! Hapo sauti ikaniambia nijiteteee ! Nikaanza kupiga kelele jamani nisaidieni Mimi sio mwizi ni mwanafunzi nimepewa lifti tu na huyu jamaa hata mm cmjui .lile jamaa lenye roho mbaya likasema hayo maneno utaenda kumwambia yesu kwamba wewe ulikuwa mwanafunzi da!! jamaa yangu
Duuuuh hatari na nusu

Ngoja nikaongeze popcorn naomba uendelezo mkuu

Nakuja
 
Back
Top Bottom