Sainya Jnr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 467
- 1,112
Ngoja nikatie niconnect vpn kwa mara nyingine tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakanifikisha nchi kavu mpaka hapo macho sioni Tena yamevimba hakuna Mfano .siwezi kutembea hata kukaa nashindwa raia karibia Kambi Zima wakaja kunishangaa pale .jamani mbona mmefanyia hivi huyu mtoto ? Jamaa wale wengine walikuwa makauzu sana nikasikia yeye anshukuru amefika Huku salama basi hayo mengine mtamuuliza mwenyewe . Nak umbuka mama alikuwa na mgahawa wakati huo pale kambini alikuwa maarufu Kwa jina la mama wiston, akapata uchungu sana wakanibeba mpaka mgahawani kwake na kuanza kunipa huduma ya kwanza ,hapo mdomoni siwezi kutafuna chochote Kwa jinsi nilivyopigwa, ni vidonda vitupu na mabonge ya damu .yule mama alinisaidia sana kunikanda na Kuninunulia dawa za maumivu, ilipita siku tatu ndio nikaanza kurudi angalau kwenye uafadhari yule kanishauri niondoke nirudi nyumbani nauli angenipa ! Nikiwa kwenye haali ya majeraha Kuna jamaa alikuwa anaitwa mangi ..kaniuliza dogo wewe malenngo Yako nn? Nikamsimulia kwamba Mimi shida yangu ada ya chuo yule jamaa akanitia sana .dogo sikiliza mm mwenyewe nimekuja Huku miaka kumi iliyopita nilishalowea Huku kikubwa usikate tamaa mi nakushauru usirudi nyumbani ukipona nitakufundisha kazi ambayo ndani ya miezi miwili tu utakuwa umepata hiyo pesa huo ndio uaname ..yule jamaa nikamwelewa lakini nikawa natamani niende nikatoe taarifa Kwa wazazi wa Fred kwamba jamaa kaliwa na mamba nauli ya kurudi Tena nitakosa baada ya wiki Moja nikaanza kujifunza kuvua samaki ,ikawa tunaenda ziwani na wazoefu tukirudi napewa mgao wangu .ilikuwa Kwa siku unaweza kuondoka hata na 50000 yule mangi akaniambia dogo Mimi Hela nitakuwa sikupi tutakuwa tunaandika tu ikifika million Moja nenda shule .nilifanya Huku nikiwa na makovu na hata nguo yule jamaa alikuwa ananipa navaa za kwake ,baada ya miezi mitatu tukapiga hesabu ikaonekana namdai milioni Moja na laki tatu nikajua hatanipa .yule mangi ni mtu wa mungu siku aliniita akanishauri dogo Huku hakufai nenda shule akanikabidhi million Moja na laki Tano !!nakumbuka yule mama pia alinichangia 70000, ila tayari nilikuwa na makovu ambayo mpaka Leo imekuwa kama kilema mwilini mwangu! Nilikuwa na hasira Sana na Mzee wangu nilipanga nikifika nyumbani nitamwonyesha makovu niliyopata nitabeba begi kuelekea chuo nakumbuka nilifika tunduma Saa Tano usiku ,Moja Kwa Moja nikaelekea nyumbani nikiwa na furaha na huzuni ,nikiwa natamani kumkuta Mzee akiwa hajalewa nilikuwa na hasira nae Sana !! Ile nafika nyumbani nakuta geti liko wazi na sio kawaida nimeingia mpaka ndani naona Hali isiyo yakawaida naangalia mlangoni nikaona kufuli ,chumba Cha wadogo zangu pia Kuna kufuli nikamgongea mpangaji Mmoja wa pale nyumbani ambae alikuwa ni mama mtu mzima! Ile kuniona nikamuona kama anahamaki ,,we mtoto ulikuwa wapi tumekutafuta sana ..nikamuuliza Kwani Kuna nn ? Yule mama kanimaliza kabisa ...baba Yako amefariki hii ni wiki ya tatu walisafirisha msiba kwenda kijijini kwenu bado hawajarudi duuu!!!majanga yakazaa majanga kiufupi niligeuka Tena kuwa mlezi wa wa wadogo zangu mpaka Sasa mungu alinijaalia wote wameolewa wanajitegemea na Sina majuto Wala laumu Kwa yeyote nashukuru tu mungu kuniokoa na mauti ..mwishoMshushe mshushe we mse...e. Nikagundua wale jamaa wako siliasi wanatuuua!! Hapo sauti ikaniambia nijiteteee ! Nikaanza kupiga kelele jamani nisaidieni Mimi sio mwizi ni mwanafunzi nimepewa lifti tu na huyu jamaa hata mm cmjui .lile jamaa lenye roho mbaya likasema hayo maneno utaenda kumwambia yesu kwamba wewe ulikuwa mwanafunzi da!! jamaa yangu Fred kavuliwa nguo zote wakamfunga na nyavu nikasikia wanashauriana hawa tukamtupe kwenye fonka pale Kuna mamba wengi ndio niligundua hapa duniani Kuna watu wanaroho mbaya uusiombe ukutane nao!
Jamaa wanamtoa vidole kimoja kimoja wanamhoji maswali kujibu hawezi kapigwa sana .Mimi wamenipa kisogo kwanza ila ndo nimepasuliwa sana huwezi kunitazama mara mbili na nguo zote wamechukuwa nimebaki uchi wa mnyama! Mwingine anakuja anashika korodani anavuta anavyotaka .kiujumla nilijua hata nikipona wakiniachia sitaweza kuwa mwanaume Tena! Walitupeleka mpaka hapo wanapaita fonka! Yaani ni sehemu ambayo mto unaingilia Kuna kuwa na mamba wengi sana maeneo hayo huwezi kutembea hatua mbili usimuone mamba !! nikajua utani nikaona wanajiandaa kumnyanyua jamaa wamtupe!!
Oyaaaa mfunge mikono tukimtupa asiogelee! Kuna jamaa alikuwa anaitwa mesha mwamba alikuwa na mateso ya kuogofya anamchoma choma visu makalioni .nikimwangalia natamani kama kungekuwa bastora nijipige risasi maana nilijua wakimalizana na huyo jamaa lazima watahamia kwangu !sikuwahi kwenda kanisani nilijikuta ndani ya moyo naomba maombi mazito ambayo sio Kwa uwezo wangu na nyimbo za tenzi zikinijia kichwani Huku nakumbuka wadogo zangu ambao nimekuja kuwapigania inamaana sitawaona Tena na hata kaburi langu hawatakuja walione popote !
Wakamaliza kumfunga kamba jamaa kama utani wengine wakamshika miguu wengine mikono wakaanza kuhesabu Moja..mbili.,...tatuuuu pwaaaaa! Lahaula! Nikasahau maumivu nikakodoa Kwa hofu kuangalia kama jamaa ataibuka ! Lo kimya zikapita kama dakika kumi wote wamekaa kimya Huku jamaa anaeitwa mesha anaandaa kamba za kunifunga Mimi ..ghafla nikasikia kupwaaaa!! Yule jamaa kaibuliwa juu kuangalia vizuri anagombaniwa na mamba zaidi ya watatu !! Nikalia sanaaaa kupita kiasi nikamkumbuka mamaangu kwamba angekuwepo huenda hayo yasingenikuta !!
Nakufa kifo kubaya sana ,ni Bora ningeendelea kulala njaa nyumbani kuliko kufa kifo Cha aina hii !! Yule jamaa mamba walimchana chana nikiwa naona Kwa macho ,,Kuna wakati slomotion ya lile tukio Huwa inajirudia kichwani mwangu!!? Oyaaaa mfunge kamba tuondoke Hawa mamba Leo wamefurahi kinoma noma !! Wale jamaa Sasa wote wakanigeukia Mimi Kila mtu anapiga anapotaka Huku nafungwa kamba miguuni na mikononi ! Wakaanza kunilisha vikambale vibichi vilivyooza vinanuka mabaki ya kwenye mitumbwi Yao !! Oyaa unajifanya unaomba sana Sasa hapa tunataka uombe Hawa mamba wasikutafune ila wakubebe wakutupe nje!!! We si mlokole mwiziii!!
Jamani jamani naombeni basi mnisikilize..nikajitetea lakini wapi ! Kuna jamaa kaniuliza wewe kwenu wapi ? Nikamjibu Kwa tabu sana maporomoko tunduma! Ni kama Kuna mtu kahamaki ! We ni mtoto wa nani ? Nikamjibu haraka Mimi ni mtoto wa Mzee kayuni ! Aaaah ! Mzee kayuni yule muuza mitumba yule shot! Nikamjibu ndio huyo huyo!! Nikasikia oyaa mfungueni huyu sio mwizi ni mdogo wangu kabisa huyu !! Haaaaaa!! Nikashusha pumzi nikamshukuru mungu sana !
Japo walianza kulaumiana ooh kasema ni mwanafunzi we si unamuona bado mdogo huyu !! Twende nae kempu !!! Mmechelewa kusema hii itakuwa kesi ikitokea amekata moto itakuwaje ? huyu amekwisha kabisa tumtupeni hii kesi hii !!! oyaa dogo unanisikia ? Nikamjibu Kwa tabu sana ...nikaona mtumbwi anaenda Kasi kuelekea ufukweni ndani ya moyo nikiendelea kumshukuru mungu sana!! Itaendeleaaa
khaah!Vip hzo kende zilizovutwa vutwa?Zinafanyakazi au zilifeli?Wakanifikisha nchi kavu mpaka hapo macho sioni Tena yamevimba hakuna Mfano .siwezi kutembea hata kukaa nashindwa raia karibia Kambi Zima wakaja kunishangaa pale .jamani mbona mmefanyia hivi huyu mtoto ? Jamaa wale wengine walikuwa makauzu sana nikasikia yeye anshukuru amefika Huku salama basi hayo mengine mtamuuliza mwenyewe . Nak umbuka mama alikuwa na mgahawa wakati huo pale kambini alikuwa maarufu Kwa jina la mama wiston, akapata uchungu sana wakanibeba mpaka mgahawani kwake na kuanza kunipa huduma ya kwanza ,hapo mdomoni siwezi kutafuna chochote Kwa jinsi nilivyopigwa, ni vidonda vitupu na mabonge ya damu .yule mama alinisaidia sana kunikanda na Kuninunulia dawa za maumivu, ilipita siku tatu ndio nikaanza kurudi angalau kwenye uafadhari yule kanishauri niondoke nirudi nyumbani nauli angenipa ! Nikiwa kwenye haali ya majeraha Kuna jamaa alikuwa anaitwa mangi ..kaniuliza dogo wewe malenngo Yako nn? Nikamsimulia kwamba Mimi shida yangu ada ya chuo yule jamaa akanitia sana .dogo sikiliza mm mwenyewe nimekuja Huku miaka kumi iliyopita nilishalowea Huku kikubwa usikate tamaa mi nakushauru usirudi nyumbani ukipona nitakufundisha kazi ambayo ndani ya miezi miwili tu utakuwa umepata hiyo pesa huo ndio uaname ..yule jamaa nikamwelewa lakini nikawa natamani niende nikatoe taarifa Kwa wazazi wa Fred kwamba jamaa kaliwa na mamba nauli ya kurudi Tena nitakosa baada ya wiki Moja nikaanza kujifunza kuvua samaki ,ikawa tunaenda ziwani na wazoefu tukirudi napewa mgao wangu .ilikuwa Kwa siku unaweza kuondoka hata na 50000 yule mangi akaniambia dogo Mimi Hela nitakuwa sikupi tutakuwa tunaandika tu ikifika million Moja nenda shule .nilifanya Huku nikiwa na makovu na hata nguo yule jamaa alikuwa ananipa navaa za kwake ,baada ya miezi mitatu tukapiga hesabu ikaonekana namdai milioni Moja na laki tatu nikajua hatanipa .yule mangi ni mtu wa mungu siku aliniita akanishauri dogo Huku hakufai nenda shule akanikabidhi million Moja na laki Tano !!nakumbuka yule mama pia alinichangia 70000, ila tayari nilikuwa na makovu ambayo mpaka Leo imekuwa kama kilema mwilini mwangu! Nilikuwa na hasira Sana na Mzee wangu nilipanga nikifika nyumbani nitamwonyesha makovu niliyopata nitabeba begi kuelekea chuo nakumbuka nilifika tunduma Saa Tano usiku ,Moja Kwa Moja nikaelekea nyumbani nikiwa na furaha na huzuni ,nikiwa natamani kumkuta Mzee akiwa hajalewa nilikuwa na hasira nae Sana !! Ile nafika nyumbani nakuta geti liko wazi na sio kawaida nimeingia mpaka ndani naona Hali isiyo yakawaida naangalia mlangoni nikaona kufuli ,chumba Cha wadogo zangu pia Kuna kufuli nikamgongea mpangaji Mmoja wa pale nyumbani ambae alikuwa ni mama mtu mzima! Ile kuniona nikamuona kama anahamaki ,,we mtoto ulikuwa wapi tumekutafuta sana ..nikamuuliza Kwani Kuna nn ? Yule mama kanimaliza kabisa ...baba Yako amefariki hii ni wiki ya tatu walisafirisha msiba kwenda kijijini kwenu bado hawajarudi duuu!!!majanga yakazaa majanga kiufupi niligeuka Tena kuwa mlezi wa wa wadogo zangu mpaka Sasa mungu alinijaalia wote wameolewa wanajitegemea na Sina majuto Wala laumu Kwa yeyote nashukuru tu mungu kuniokoa na mauti ..mwisho
Unaona je ukianza kuandika vitabu vya riwaya?Wakanifikisha nchi kavu mpaka hapo macho sioni Tena yamevimba hakuna Mfano .siwezi kutembea hata kukaa nashindwa raia karibia Kambi Zima wakaja kunishangaa pale .jamani mbona mmefanyia hivi huyu mtoto ? Jamaa wale wengine walikuwa makauzu sana nikasikia yeye anshukuru amefika Huku salama basi hayo mengine mtamuuliza mwenyewe . Nak umbuka mama alikuwa na mgahawa wakati huo pale kambini alikuwa maarufu Kwa jina la mama wiston, akapata uchungu sana wakanibeba mpaka mgahawani kwake na kuanza kunipa huduma ya kwanza ,hapo mdomoni siwezi kutafuna chochote Kwa jinsi nilivyopigwa, ni vidonda vitupu na mabonge ya damu .yule mama alinisaidia sana kunikanda na Kuninunulia dawa za maumivu, ilipita siku tatu ndio nikaanza kurudi angalau kwenye uafadhari yule kanishauri niondoke nirudi nyumbani nauli angenipa ! Nikiwa kwenye haali ya majeraha Kuna jamaa alikuwa anaitwa mangi ..kaniuliza dogo wewe malenngo Yako nn? Nikamsimulia kwamba Mimi shida yangu ada ya chuo yule jamaa akanitia sana .dogo sikiliza mm mwenyewe nimekuja Huku miaka kumi iliyopita nilishalowea Huku kikubwa usikate tamaa mi nakushauru usirudi nyumbani ukipona nitakufundisha kazi ambayo ndani ya miezi miwili tu utakuwa umepata hiyo pesa huo ndio uaname ..yule jamaa nikamwelewa lakini nikawa natamani niende nikatoe taarifa Kwa wazazi wa Fred kwamba jamaa kaliwa na mamba nauli ya kurudi Tena nitakosa baada ya wiki Moja nikaanza kujifunza kuvua samaki ,ikawa tunaenda ziwani na wazoefu tukirudi napewa mgao wangu .ilikuwa Kwa siku unaweza kuondoka hata na 50000 yule mangi akaniambia dogo Mimi Hela nitakuwa sikupi tutakuwa tunaandika tu ikifika million Moja nenda shule .nilifanya Huku nikiwa na makovu na hata nguo yule jamaa alikuwa ananipa navaa za kwake ,baada ya miezi mitatu tukapiga hesabu ikaonekana namdai milioni Moja na laki tatu nikajua hatanipa .yule mangi ni mtu wa mungu siku aliniita akanishauri dogo Huku hakufai nenda shule akanikabidhi million Moja na laki Tano !!nakumbuka yule mama pia alinichangia 70000, ila tayari nilikuwa na makovu ambayo mpaka Leo imekuwa kama kilema mwilini mwangu! Nilikuwa na hasira Sana na Mzee wangu nilipanga nikifika nyumbani nitamwonyesha makovu niliyopata nitabeba begi kuelekea chuo nakumbuka nilifika tunduma Saa Tano usiku ,Moja Kwa Moja nikaelekea nyumbani nikiwa na furaha na huzuni ,nikiwa natamani kumkuta Mzee akiwa hajalewa nilikuwa na hasira nae Sana !! Ile nafika nyumbani nakuta geti liko wazi na sio kawaida nimeingia mpaka ndani naona Hali isiyo yakawaida naangalia mlangoni nikaona kufuli ,chumba Cha wadogo zangu pia Kuna kufuli nikamgongea mpangaji Mmoja wa pale nyumbani ambae alikuwa ni mama mtu mzima! Ile kuniona nikamuona kama anahamaki ,,we mtoto ulikuwa wapi tumekutafuta sana ..nikamuuliza Kwani Kuna nn ? Yule mama kanimaliza kabisa ...baba Yako amefariki hii ni wiki ya tatu walisafirisha msiba kwenda kijijini kwenu bado hawajarudi duuu!!!majanga yakazaa majanga kiufupi niligeuka Tena kuwa mlezi wa wa wadogo zangu mpaka Sasa mungu alinijaalia wote wameolewa wanajitegemea na Sina majuto Wala laumu Kwa yeyote nashukuru tu mungu kuniokoa na mauti ..mwisho
Ilikuwa mwanzoni kabisa mwa mwaka 2000 nikiwa nyumbani pamoja na wazazi wangu katika mji mdogo wa tunduma karibu kabisa na shule ya msingi maporomoko.
Sitasahau wakati huo nilikuwa nikiishi na mama wa kambo baada ya kumpoteza mama yangu mzazi .maisha nyumbani yalibadilika ghafla na baba akawa ni mtu wa kulewa na kurudi usiku wa manane.
Ilikuwa akifika tu basi wote mtaamshwa kupigiwa makelele usiku kucha ,Mimi na wadogo zangu ambao wengine walikuwa wadogo kabisa, ilifika mahari tunalala njaa.
Yule mama wa kambo alibadilisha kabisa maisha na tabia za baba akawa ni mtu wa hovyo sana. Wanakula kilabuni wanarudi usiku Mimi nabaki napambana na wadogo wazangu na nilikuwa nataka kwenda chuo lakini Mzee kasema hawezi kupoteza pesa yake kunisomesha natakiwa nipambane mwenyewe.
Niliamua kujiongeza kufanya vibarua mchana jioni nikipata kitu napelekea wadogo zangu ndio hapo nilikutana na jamaa Mmoja anaitwa Alfred akanipa mchongo wa kwenda kuvua samaki ziwa rukwa.
Nilijichangachanga nikapata nauli nikawaaga wadogo zangu Kwa uchungu sana ilikuwa hakuna namna lazima nikapambane na Kwa vile jamaa alinipa matumaini ya kupata pesa nyingi Kwa muda mfupi nikaamini kabisa naenda kutoboa, tuliondoka Tunduma Kwa usafiri wa fuso kuelekea bonde la ziwa rukwa kupitia laela, Kalambanzite na usiku karibia Saa nne tukafanikiwa kufika Kijiji Cha Ilemba ambapo ndio mwisho wa gari.
Tukalala asubuhi mapema tukaanza kutembea Kwa mguu nakumbuka tuliamka Saa 12 mapema.
Kuendelea bonyeza kiungo hapo chini
Sehemu ya pili
Sehemu ya tatu
Mmmmmgh Ile million ilishaisha kama ndio unaipigia hesabukhaah!Vip hzo kende zilizovutwa vutwa?Zinafanyakazi au zilifeli?
Vp kwani unataka kumtunuku tunda kimasihara?😀khaah!Vip hzo kende zilizovutwa vutwa?Zinafanyakazi au zilifeli?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji10]Vp kwani unataka kumtunuku tunda kimasihara?[emoji3]
Tuoneshe picha za hayo makovu..pia wazaz wa fred uliwafuata?Wakanifikisha nchi kavu mpaka hapo macho sioni Tena yamevimba hakuna Mfano .siwezi kutembea hata kukaa nashindwa raia karibia Kambi Zima wakaja kunishangaa pale .jamani mbona mmefanyia hivi huyu mtoto ? Jamaa wale wengine walikuwa makauzu sana nikasikia yeye anshukuru amefika Huku salama basi hayo mengine mtamuuliza mwenyewe . Nak umbuka mama alikuwa na mgahawa wakati huo pale kambini alikuwa maarufu Kwa jina la mama wiston, akapata uchungu sana wakanibeba mpaka mgahawani kwake na kuanza kunipa huduma ya kwanza ,hapo mdomoni siwezi kutafuna chochote Kwa jinsi nilivyopigwa, ni vidonda vitupu na mabonge ya damu .yule mama alinisaidia sana kunikanda na Kuninunulia dawa za maumivu, ilipita siku tatu ndio nikaanza kurudi angalau kwenye uafadhari yule kanishauri niondoke nirudi nyumbani nauli angenipa ! Nikiwa kwenye haali ya majeraha Kuna jamaa alikuwa anaitwa mangi ..kaniuliza dogo wewe malenngo Yako nn? Nikamsimulia kwamba Mimi shida yangu ada ya chuo yule jamaa akanitia sana .dogo sikiliza mm mwenyewe nimekuja Huku miaka kumi iliyopita nilishalowea Huku kikubwa usikate tamaa mi nakushauru usirudi nyumbani ukipona nitakufundisha kazi ambayo ndani ya miezi miwili tu utakuwa umepata hiyo pesa huo ndio uaname ..yule jamaa nikamwelewa lakini nikawa natamani niende nikatoe taarifa Kwa wazazi wa Fred kwamba jamaa kaliwa na mamba nauli ya kurudi Tena nitakosa baada ya wiki Moja nikaanza kujifunza kuvua samaki ,ikawa tunaenda ziwani na wazoefu tukirudi napewa mgao wangu .ilikuwa Kwa siku unaweza kuondoka hata na 50000 yule mangi akaniambia dogo Mimi Hela nitakuwa sikupi tutakuwa tunaandika tu ikifika million Moja nenda shule .nilifanya Huku nikiwa na makovu na hata nguo yule jamaa alikuwa ananipa navaa za kwake ,baada ya miezi mitatu tukapiga hesabu ikaonekana namdai milioni Moja na laki tatu nikajua hatanipa .yule mangi ni mtu wa mungu siku aliniita akanishauri dogo Huku hakufai nenda shule akanikabidhi million Moja na laki Tano !!nakumbuka yule mama pia alinichangia 70000, ila tayari nilikuwa na makovu ambayo mpaka Leo imekuwa kama kilema mwilini mwangu! Nilikuwa na hasira Sana na Mzee wangu nilipanga nikifika nyumbani nitamwonyesha makovu niliyopata nitabeba begi kuelekea chuo nakumbuka nilifika tunduma Saa Tano usiku ,Moja Kwa Moja nikaelekea nyumbani nikiwa na furaha na huzuni ,nikiwa natamani kumkuta Mzee akiwa hajalewa nilikuwa na hasira nae Sana !! Ile nafika nyumbani nakuta geti liko wazi na sio kawaida nimeingia mpaka ndani naona Hali isiyo yakawaida naangalia mlangoni nikaona kufuli ,chumba Cha wadogo zangu pia Kuna kufuli nikamgongea mpangaji Mmoja wa pale nyumbani ambae alikuwa ni mama mtu mzima! Ile kuniona nikamuona kama anahamaki ,,we mtoto ulikuwa wapi tumekutafuta sana ..nikamuuliza Kwani Kuna nn ? Yule mama kanimaliza kabisa ...baba Yako amefariki hii ni wiki ya tatu walisafirisha msiba kwenda kijijini kwenu bado hawajarudi duuu!!!majanga yakazaa majanga kiufupi niligeuka Tena kuwa mlezi wa wa wadogo zangu mpaka Sasa mungu alinijaalia wote wameolewa wanajitegemea na Sina majuto Wala laumu Kwa yeyote nashukuru tu mungu kuniokoa na mauti ..mwisho
[emoji2][emoji2][emoji2] THE HARD WAY mniga analiwa na mamba by Mkandala Lufufu.Mshushe mshushe we mse...e. Nikagundua wale jamaa wako siliasi wanatuuua!! Hapo sauti ikaniambia nijiteteee ! Nikaanza kupiga kelele jamani nisaidieni Mimi sio mwizi ni mwanafunzi nimepewa lifti tu na huyu jamaa hata mm cmjui .lile jamaa lenye roho mbaya likasema hayo maneno utaenda kumwambia yesu kwamba wewe ulikuwa mwanafunzi da!! jamaa yangu Fred kavuliwa nguo zote wakamfunga na nyavu nikasikia wanashauriana hawa tukamtupe kwenye fonka pale Kuna mamba wengi ndio niligundua hapa duniani Kuna watu wanaroho mbaya uusiombe ukutane nao!
Jamaa wanamtoa vidole kimoja kimoja wanamhoji maswali kujibu hawezi kapigwa sana .Mimi wamenipa kisogo kwanza ila ndo nimepasuliwa sana huwezi kunitazama mara mbili na nguo zote wamechukuwa nimebaki uchi wa mnyama! Mwingine anakuja anashika korodani anavuta anavyotaka .kiujumla nilijua hata nikipona wakiniachia sitaweza kuwa mwanaume Tena! Walitupeleka mpaka hapo wanapaita fonka! Yaani ni sehemu ambayo mto unaingilia Kuna kuwa na mamba wengi sana maeneo hayo huwezi kutembea hatua mbili usimuone mamba !! nikajua utani nikaona wanajiandaa kumnyanyua jamaa wamtupe!!
Oyaaaa mfunge mikono tukimtupa asiogelee! Kuna jamaa alikuwa anaitwa mesha mwamba alikuwa na mateso ya kuogofya anamchoma choma visu makalioni .nikimwangalia natamani kama kungekuwa bastora nijipige risasi maana nilijua wakimalizana na huyo jamaa lazima watahamia kwangu !sikuwahi kwenda kanisani nilijikuta ndani ya moyo naomba maombi mazito ambayo sio Kwa uwezo wangu na nyimbo za tenzi zikinijia kichwani Huku nakumbuka wadogo zangu ambao nimekuja kuwapigania inamaana sitawaona Tena na hata kaburi langu hawatakuja walione popote !
Wakamaliza kumfunga kamba jamaa kama utani wengine wakamshika miguu wengine mikono wakaanza kuhesabu Moja..mbili.,...tatuuuu pwaaaaa! Lahaula! Nikasahau maumivu nikakodoa Kwa hofu kuangalia kama jamaa ataibuka ! Lo kimya zikapita kama dakika kumi wote wamekaa kimya Huku jamaa anaeitwa mesha anaandaa kamba za kunifunga Mimi ..ghafla nikasikia kupwaaaa!! Yule jamaa kaibuliwa juu kuangalia vizuri anagombaniwa na mamba zaidi ya watatu !! Nikalia sanaaaa kupita kiasi nikamkumbuka mamaangu kwamba angekuwepo huenda hayo yasingenikuta !!
Nakufa kifo kubaya sana ,ni Bora ningeendelea kulala njaa nyumbani kuliko kufa kifo Cha aina hii !! Yule jamaa mamba walimchana chana nikiwa naona Kwa macho ,,Kuna wakati slomotion ya lile tukio Huwa inajirudia kichwani mwangu!!? Oyaaaa mfunge kamba tuondoke Hawa mamba Leo wamefurahi kinoma noma !! Wale jamaa Sasa wote wakanigeukia Mimi Kila mtu anapiga anapotaka Huku nafungwa kamba miguuni na mikononi ! Wakaanza kunilisha vikambale vibichi vilivyooza vinanuka mabaki ya kwenye mitumbwi Yao !! Oyaa unajifanya unaomba sana Sasa hapa tunataka uombe Hawa mamba wasikutafune ila wakubebe wakutupe nje!!! We si mlokole mwiziii!!
Jamani jamani naombeni basi mnisikilize..nikajitetea lakini wapi ! Kuna jamaa kaniuliza wewe kwenu wapi ? Nikamjibu Kwa tabu sana maporomoko tunduma! Ni kama Kuna mtu kahamaki ! We ni mtoto wa nani ? Nikamjibu haraka Mimi ni mtoto wa Mzee kayuni ! Aaaah ! Mzee kayuni yule muuza mitumba yule shot! Nikamjibu ndio huyo huyo!! Nikasikia oyaa mfungueni huyu sio mwizi ni mdogo wangu kabisa huyu !! Haaaaaa!! Nikashusha pumzi nikamshukuru mungu sana !
Japo walianza kulaumiana ooh kasema ni mwanafunzi we si unamuona bado mdogo huyu !! Twende nae kempu !!! Mmechelewa kusema hii itakuwa kesi ikitokea amekata moto itakuwaje ? huyu amekwisha kabisa tumtupeni hii kesi hii !!! oyaa dogo unanisikia ? Nikamjibu Kwa tabu sana ...nikaona mtumbwi anaenda Kasi kuelekea ufukweni ndani ya moyo nikiendelea kumshukuru mungu sana!! Itaendeleaaa
Vipi chuo hukwenda tena?Wakanifikisha nchi kavu mpaka hapo macho sioni Tena yamevimba hakuna Mfano .siwezi kutembea hata kukaa nashindwa raia karibia Kambi Zima wakaja kunishangaa pale .jamani mbona mmefanyia hivi huyu mtoto ? Jamaa wale wengine walikuwa makauzu sana nikasikia yeye anshukuru amefika Huku salama basi hayo mengine mtamuuliza mwenyewe . Nak umbuka mama alikuwa na mgahawa wakati huo pale kambini alikuwa maarufu Kwa jina la mama wiston, akapata uchungu sana wakanibeba mpaka mgahawani kwake na kuanza kunipa huduma ya kwanza ,hapo mdomoni siwezi kutafuna chochote Kwa jinsi nilivyopigwa, ni vidonda vitupu na mabonge ya damu .yule mama alinisaidia sana kunikanda na Kuninunulia dawa za maumivu, ilipita siku tatu ndio nikaanza kurudi angalau kwenye uafadhari yule kanishauri niondoke nirudi nyumbani nauli angenipa ! Nikiwa kwenye haali ya majeraha Kuna jamaa alikuwa anaitwa mangi ..kaniuliza dogo wewe malenngo Yako nn? Nikamsimulia kwamba Mimi shida yangu ada ya chuo yule jamaa akanitia sana .dogo sikiliza mm mwenyewe nimekuja Huku miaka kumi iliyopita nilishalowea Huku kikubwa usikate tamaa mi nakushauru usirudi nyumbani ukipona nitakufundisha kazi ambayo ndani ya miezi miwili tu utakuwa umepata hiyo pesa huo ndio uaname ..yule jamaa nikamwelewa lakini nikawa natamani niende nikatoe taarifa Kwa wazazi wa Fred kwamba jamaa kaliwa na mamba nauli ya kurudi Tena nitakosa baada ya wiki Moja nikaanza kujifunza kuvua samaki ,ikawa tunaenda ziwani na wazoefu tukirudi napewa mgao wangu .ilikuwa Kwa siku unaweza kuondoka hata na 50000 yule mangi akaniambia dogo Mimi Hela nitakuwa sikupi tutakuwa tunaandika tu ikifika million Moja nenda shule .nilifanya Huku nikiwa na makovu na hata nguo yule jamaa alikuwa ananipa navaa za kwake ,baada ya miezi mitatu tukapiga hesabu ikaonekana namdai milioni Moja na laki tatu nikajua hatanipa .yule mangi ni mtu wa mungu siku aliniita akanishauri dogo Huku hakufai nenda shule akanikabidhi million Moja na laki Tano !!nakumbuka yule mama pia alinichangia 70000, ila tayari nilikuwa na makovu ambayo mpaka Leo imekuwa kama kilema mwilini mwangu! Nilikuwa na hasira Sana na Mzee wangu nilipanga nikifika nyumbani nitamwonyesha makovu niliyopata nitabeba begi kuelekea chuo nakumbuka nilifika tunduma Saa Tano usiku ,Moja Kwa Moja nikaelekea nyumbani nikiwa na furaha na huzuni ,nikiwa natamani kumkuta Mzee akiwa hajalewa nilikuwa na hasira nae Sana !! Ile nafika nyumbani nakuta geti liko wazi na sio kawaida nimeingia mpaka ndani naona Hali isiyo yakawaida naangalia mlangoni nikaona kufuli ,chumba Cha wadogo zangu pia Kuna kufuli nikamgongea mpangaji Mmoja wa pale nyumbani ambae alikuwa ni mama mtu mzima! Ile kuniona nikamuona kama anahamaki ,,we mtoto ulikuwa wapi tumekutafuta sana ..nikamuuliza Kwani Kuna nn ? Yule mama kanimaliza kabisa ...baba Yako amefariki hii ni wiki ya tatu walisafirisha msiba kwenda kijijini kwenu bado hawajarudi duuu!!!majanga yakazaa majanga kiufupi niligeuka Tena kuwa mlezi wa wa wadogo zangu mpaka Sasa mungu alinijaalia wote wameolewa wanajitegemea na Sina majuto Wala laumu Kwa yeyote nashukuru tu mungu kuniokoa na mauti ..mwisho
Umemdaka 😆🥴Mbweha wewe!
Umefufuka lini?khaah!Vip hzo kende zilizovutwa vutwa?Zinafanyakazi au zilifeli?
Unamlipa shingap...Nyie watu wa kuleta mambo nusu nusu mnaznguaga sana.
Sifa ya uandishi, andaa mkasa wako pembeni, yaan andika kabla hujapost mtandaoni, Edit huko huko, pitia makosa yote ktk makala yako, hakikisha umefikia sehem ambayo stori yako imekamilika ndipo upost inform of series/parts or whatever utakavyotaka.
Mambo ya kukurupuka na kuanza kuandikia humu bila kujipanga ndio haya tunaona watu hammalizi haya mastori yenu.
Wengine wataishia kuita hii nayo ni CHAI..maana hamuelewekagi nyie[emoji41][emoji41][emoji41]