Yaliyonikuta Ziwa Rukwa sitokaa niyasahau

Pole sana asee..dunia tunapitia mengi.

Tuma basi picha hata ya hayo makovu tuyaone..seeing is believing.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dah, Mkuu yaani ndio unatuweka hewani Muda wote tukisubiria
 
Anaandika kwa hisia yaweza ikawa anaandika huku anamwaga chozi na hana vidole mvumilie tu mkuu
Daah...ndo nami narudi maana hii tumeanza nayo kabla jua halijachomoza, nadhani nitakuta vipande vyote amemaliza
 
Duuh ndoto za chuo zilifia papo hapo?
 
Ungekuja kirando Republic hakika yasinge kukuta hayo yote Cha kumshukuru Mungu huu mzima mpaka Sasa .

Ukweli ni kwamba Rukwa(sio mkoa) ni sehemu ambayo watu wengi wenye social problems mbalimbali hukimbilia uko kujificha.
Dah,wewe umenifungua macho, Kuna wadada wawili nawafahamu wote wamekimbilia Rukwa kwenye mabwawa ya samaki baada ya kuzidiwa na madeni ya vikoba ,na Benji japo kila mmoja kaenda kimpango wake...kumbe uchaka wa wanyang'anyi
 
Ng'ambo ya zote ziwa Rukwa huko ni banana republic hakuna Cha sheria,askari Wala bibi yake,
Wagumu tu ndo wanaweza kuishi huko.
 
Nimecheka sana uandishi wako una vituko,ila bado nalia uliyopitia 😭😭 maisha haya Kuna watu hupitia shida sana na wengine hawajui hizo shida tangu tumboni mwa mama zao🙏 inshaallah Kila mtu na sahani yake😭😭
 
Ng'ambo ya zote ziwa Rukwa huko ni banana republic hakuna Cha sheria,askari Wala bibi yake,
Wagumu tu ndo wanaweza kuishi huko.
Dah nakuamini,maana huyo mmoja alinirushia picha yupo msituni pembezoni mwa maji yaani sikuelewa anaishije pale maana anasema nyoka ndio mahali pale pale,picha nyingine wamekaa juu ya vichanja wanapika nilishangaa Ila anadai huko pesa njenje anauza samaki Tunduma kwa wakongo
 
daaa aisee hii tunaita kubatizwa kwa moto mungu mkubwa bado tuna pumua
 
Kirando [emoji28] kipili, kabwe, masolo

Aisee uko ni chaka moja zuri sna

Wagumu wanatoboa
Ungekuja kirando Republic hakika yasinge kukuta hayo yote Cha kumshukuru Mungu huu mzima mpaka Sasa .

Ukweli ni kwamba Rukwa(sio mkoa) ni sehemu ambayo watu wengi wenye social problems mbalimbali hukimbilia uko kujificha.
 
Mungu ni mwema kwakweli!

funzo: usiondoke kwenda kusikojulikana eti kutafta maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…