Yaliyotokea Kariakoo ni ukumbusho kuwa Amani hulevya Ujinga

Yaliyotokea Kariakoo ni ukumbusho kuwa Amani hulevya Ujinga

Vifaa Vyote Nchi nzima Havidi Trilion 3..
Kwa supply ya Kila Mkoa..
Ukiangalia Goli la Mama, Malipo Mechi za K.O za Ngumi na Pesa Nyingi zinazotumika Kwenye Vitu visivyo vya Msingi...

Juzi Juzi bunge linaidhinisha Manunuzi ya ndege Nyingine ya Viongozi inayocost Bilions of Money..
Bajeti ya Mwaka huu inakaribia trilion 40 kwanini Tusitumia trilion 3 Kuboresha Jeshi linaloweza Kuokoa Maisha?
Daah...ukifikiria mambo ya hii nchi unaweza ukachanganyikiwa asee. Wazungu wana haki ya kutuona sisi manyani kwa kweli.
 
Swali la kijinga Sana. Marekani wamemtoa democrat wakampa nani? Au Botswana wamemtoa BDP wamempa nani?. Maswali ya kijinga Sana kutoka kwa chawa wa CCM
Ni ujinga tu. Hawajui ccm bila dola ni sawa na TLP tu.
 
Kukaa sana kwa amani tunalewa sio polisi, uhamiaji, JW au wapi tuko vizuri. Tatizo ni kukaa na imani kwamba jeshi ni kwa a gharama kubwa wanayo, vifaa vya uwezo zaidi wanavyo.
Sasa bongo bajeti kama hiyo haitengwi.
Very well said chief
 
Mimi ni mshabiki namba moja wa Israel, ila nimeguswa na tukio la kuanguka kwa Jengo Kariakoo, Jitihada tuliyoweka katika uokozi ni aibu kwetu hasa sisi Watanzania tunaomini sio Nyani.

Gaza kwao kuanguka kwa majengo ni kila siku tena kwa mabomu na sio uzembe, lakini Watu wake na mifumo yao ya uokozi imepunguza Idadi ya vifo hadi 40, 000 pekee, Kama sisi Jengo moja tumetumia siku 2 na bado hatujamaliza, basi kwenye Majanga makubwa ya Vita au asili tunaweza kupoteza watu zaidi ya laki moja kwa wiki,

Ifike hatua tuiwajibishe serikali ya CCM kwa kuiweka pembeni tuanze upya, ni aibu kuona viongozi wa Serikali wanaenda eneo la maafa na magari ya zaidi ya billioni 3 alafu wanashindwa kuwa na vifaa vya uokozi visivyozidi billion 1.
Sisi tunaweza kuzalisha machawa tu baaaaas.
 
Watu wenye akili walisha waambia waafrika hasa weusi kuwa hamuwezi kujitawala,rejea hotuba ya Botha.

Mtu mweusi kwa matendo yake ni ishara ya udumavu wa akili na uwezo wa kifikra katika kutenda na kuamua.
 
Wale Mkomandoo wa kupasua tofali kifuani wapo wapi kwenye uokoaji?
 
Kukaa sana kwa amani tunalewa sio polisi, uhamiaji, JW au wapi tuko vizuri. Tatizo ni kukaa na imani kwamba jeshi ni kwa ajili ya vita tu, zana (sio silaha) za kijeshi zina dual use ukiwa nazo zitatumika sana kwa civilians kuliko mara moja kwa miaka kadhaa usubiri vita.
Mkuu umeandika vitu deep sana, hata mimi nimepata elimu hapa
 
Swali la kijinga Sana. Marekani wamemtoa democrat wakampa nani? Au Botswana wamemtoa BDP wamempa nani?. Maswali ya kijinga Sana kutoka kwa chawa wa CCM
Sawa ni ya kijinga ila CHADOMO hamupat ng'oooooo
 
Back
Top Bottom