Yaliyotokea kwa ACT Wazalendo kwenye chaguzi Ujiji kwa Polisi kuilinda CCM kuiba kura, 2024/25 yanawasubiri CHADEMA, mtafanya nini yakitokea?

Wewe uko upande gani? unaongea kana kwamba Wanao komoleka ni CDM, mfano Mbowe ana maisha yake, mbowe ametoka familia ya waao jiweza, uliza kule Moshi.
 
Hata Ufalme wa mbinguni Wenye nguvu Ndio wanautwaa

Usitegemee kuletewa Tume Huru bwashee Itafute mwenyewe
 
Demokrasia ya Wazungu imeshindikana hapa !!
 
relax bas na utoe hoja taratibu na kwa staha...

nachokiona ni muhemko na ghadhabu tu....

kua muungwana tu kama binadamu kwamba vitu fulani huna...
Ungekua unajali ubinadamu usingeshabikia binadamu mwenzako kuuliwa,kutekwa etc etc na kuwa mbali na familia yake,serikali ya ccm imefanya hayo na inashabikiwa na wapumbavu kama wewe,Nkanini anaongea as its
 
Hapa bila ya Niger or Burkina Faso style hamna kitu!
Tukubaliane na hiyo hali tuu kuwa itokee kisha ndio itasafisha uvundo wote na kuanza upya.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ungekua unajali ubinadamu usingeshabikia binadamu mwenzako kuuliwa,kutekwa etc etc na kuwa mbali na familia yake,serikali ya ccm imefanya hayo na inashabikiwa na wapumbavu kama wewe,Nkanini anaongea as its
bado unakosa Utulivu, relax mkuu πŸ’

hizi mambo hazitaki hasira wala mihemko ya kuruka huku na kudandia kule utapasua moyo mkuu πŸ’

funguka yote upate relief ikusaidie kua na utaratibu wa kuwasilisha au kuchangia hoja πŸ’

hata hivyo,
CCM haiwezi kubabaika na mihemko ya nyumbu yoyote hususan kwenye chaguzi πŸ’

haita muonea haya wala aibu mpinzani yeyote tangu kampeni hadi kwenye kura. kwasababu ccm ina dhamira na makusudio ya kushika dola kuunda serikali na kuwatumikia wanainchi, malalamiko na mihemko ibaki kwa wenyewe πŸ’

Ukweli usemwe, CCM itashinda tu, na sasa wapinzani ndio kama wew wa risasi moja tu 🀣
 
πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ🀣🀣🀣🀣 zaidi mtakimbia nchi kuwa mmetishiwa kubakwa!
Hawa polisi mnaowategemea hawajaongezwa mshahara kwa miaka 8 sasa , wameahidi hawatatumikishwa tena , tunao kwenye maandamano bega kwa bega .

Hii yakwako ni verified.
Anajiita Masawe huku kwao ni Geita ! anaficha jina lake ili iweje ? halafu ni vile tu jf inasitiri watu lakini namfahamu kwa majina yote matatu likiwemo na la Bibi yake mzaa mama
 
Chadema na hao wapinzani wengine wanafikiri kura hupigwa kwenye mitandao ya kijamii.
Ukweli mchungu kwao CCM imejikita sana vijijini huko.Sasa hivi hata mijini watu hawafuatilii masuala ya siasa za upinzani.Watu tuko kwenye mambo ya Simba na Yanga.
 
Fine, weka tume huru basi, then utakuwa umekata mzizi wa fitina..... as long as hakuna tume huru, ote unayoyasema uwezi kuyathibitisha.......all go by the trench!

CCM mnaogopa nini kuweka ume huru? Yaliyofanyka 2020 unayasemaje? Nipe maoni yako
 
Chadema na hao wapinzani wengine wanafikiri kura hupigwa kwenye mitandao ya kijamii.
Ukweli mchungu kwao CCM imejikita sana vijijini huko.Sasa hivi hata mijini watu hawafuatilii masuala ya siasa za upinzani.Watu tuko kwenye mambo ya Simba na Yanga.
Vijiji gani hivyo ccm ilipojikita, maana hata Sasa vijana huko vijijini wanavaa suruali za chini ya makalio, na vijana sio kizazi Cha ccm, Sasa huko kujikita ni kwa wazee tu ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…