Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mlifanya nini? Au mnafikiri watu hawakuwa hai 2015 na 2020! Sasa kwa hiyo mbinu itakuwa ni kuomba kwenda ikulu au kuombea watu vifo?Chadema haijawahi kukata wala kukatishwa Tamaa , Muulize Jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlifanya nini? Au mnafikiri watu hawakuwa hai 2015 na 2020! Sasa kwa hiyo mbinu itakuwa ni kuomba kwenda ikulu au kuombea watu vifo?Chadema haijawahi kukata wala kukatishwa Tamaa , Muulize Jiwe
🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤣🤣🤣🤣 zaidi mtakimbia nchi kuwa mmetishiwa kubakwa!Kila siku siyo Jumapili , mkitaka tugawane mbao mjiandae
Endeleeni kutumia Id feki huku mkijita makamandaKwani mbinu za kijeshi huwa zinawekwa hadharani?
Wewe uko upande gani? unaongea kana kwamba Wanao komoleka ni CDM, mfano Mbowe ana maisha yake, mbowe ametoka familia ya waao jiweza, uliza kule Moshi.Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.
BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.
MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
Hata Ufalme wa mbinguni Wenye nguvu Ndio wanautwaaJohn, huwa huna akili hata kidogo. Uchawa umekuzidi....... If that is the case, kwanini mnakataa ume huru? Washeikh, Maaskofu NGOs na woooooooooooooooooooooooote wamependekeza tume huru, ni nyinyi tu mnaikataa, WHY? KAMA SIYO WOGA WA KUNGATULIWA MADARAKANI?
Demokrasia ya Wazungu imeshindikana hapa !!Hivi katiba ikipatikana CCM ndiyo wataacha kuiba kura?
Mbona kipindi cha mwendazake katiba haikufuatwa na hakuna hatua zozote alizochukuliwa.
Tatizo mnafikiri ni jukumu la Chadema kudai katiba hivi kama wananchi hawaitaji katiba chadema wafanye nini?
Nchi yetu bado inatakiwa kuendelea na mfumo wa chama kimoja mpaka wananchi tutakapoamka
Ungekua unajali ubinadamu usingeshabikia binadamu mwenzako kuuliwa,kutekwa etc etc na kuwa mbali na familia yake,serikali ya ccm imefanya hayo na inashabikiwa na wapumbavu kama wewe,Nkanini anaongea as itsrelax bas na utoe hoja taratibu na kwa staha...
nachokiona ni muhemko na ghadhabu tu....
kua muungwana tu kama binadamu kwamba vitu fulani huna...
Waafrika na demokrasia wapi na wapiDemokrasia ya Wazungu imeshindikana hapa !!
Duh 🙄 !Hata Ufalme wa mbinguni Wenye nguvu Ndio wanautwaa
Usitegemee kuletewa Tume Huru bwashee Itafute mwenyewe
Iko vile !Waafrika na demokrasia wapi na wapi
Hapa bila ya Niger or Burkina Faso style hamna kitu!Kama CCM wataamua kuiba na kulindwa na bunduki za polisi Chadema watafanya nini?
Kama kipo watachofanya ni kujitoa mhanga, wawe tayari kupata majeraha au hata kuumizwa zaidi kuipigania haki yao.
Walishindwa kuhimiza upatikanaji wa Katiba Mpya kwa wakati, wakadanganywa na maridhiano, walivyoshtuka maridhiano ni kupotezeana muda wakaona wadai Tume Huru, lakini nayo wamekuja kuona haiwezi kupatikana wakaamua kuingia kwenye uchaguzi kwa sheria mbovu zilizopo.
Wakiamini watajilinda au watalindwa na wapiga kura wao, hii kamari waliyoamua kuicheza inataka moyo, inawalazimu wawe tayari kwa lolote kwasababu kati yetu hayupo asiyezijua tabia za CCM kwenye uchaguzi, hawawezi kubadilika kisa Samia yupo madarakani.
Hatuna historia hiyoHapa bila ya Niger or Burkina Faso style hamna kitu!
Tukubaliane na hiyo hali tuu kuwa itokee kisha ndio itasafisha uvundo wote na kuanza upya.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
bado unakosa Utulivu, relax mkuu 🐒Ungekua unajali ubinadamu usingeshabikia binadamu mwenzako kuuliwa,kutekwa etc etc na kuwa mbali na familia yake,serikali ya ccm imefanya hayo na inashabikiwa na wapumbavu kama wewe,Nkanini anaongea as its
Hii yakwako ni verified.Endeleeni kutumia Id feki huku mkijita makamanda
Hawa polisi mnaowategemea hawajaongezwa mshahara kwa miaka 8 sasa , wameahidi hawatatumikishwa tena , tunao kwenye maandamano bega kwa bega .🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤣🤣🤣🤣 zaidi mtakimbia nchi kuwa mmetishiwa kubakwa!
Anajiita Masawe huku kwao ni Geita ! anaficha jina lake ili iweje ? halafu ni vile tu jf inasitiri watu lakini namfahamu kwa majina yote matatu likiwemo na la Bibi yake mzaa mamaHii yakwako ni verified.
Chadema na hao wapinzani wengine wanafikiri kura hupigwa kwenye mitandao ya kijamii.Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa ACT kuwafunga walipoingilia kati kuzuia wizi huo wa kura wa CCM.
BY HOOKS AND CROOKS LAZIMA CCM IFANYA YALE YALE YA 2020 MAANA WAMEANZA KIGOMA JANA.
MMEJIANDAAJE NA HUJUMA HIZO? MNA UWEZO WA KUKABILIANA NA POLISI? IF SO HOW?
Fine, weka tume huru basi, then utakuwa umekata mzizi wa fitina..... as long as hakuna tume huru, ote unayoyasema uwezi kuyathibitisha.......all go by the trench!Chadema na hao wapinzani wengine wanafikiri kura hupigwa kwenye mitandao ya kijamii.
Ukweli mchungu kwao CCM imejikita sana vijijini huko.Sasa hivi hata mijini watu hawafuatilii masuala ya siasa za upinzani.Watu tuko kwenye mambo ya Simba na Yanga.
Vijiji gani hivyo ccm ilipojikita, maana hata Sasa vijana huko vijijini wanavaa suruali za chini ya makalio, na vijana sio kizazi Cha ccm, Sasa huko kujikita ni kwa wazee tu ama?Chadema na hao wapinzani wengine wanafikiri kura hupigwa kwenye mitandao ya kijamii.
Ukweli mchungu kwao CCM imejikita sana vijijini huko.Sasa hivi hata mijini watu hawafuatilii masuala ya siasa za upinzani.Watu tuko kwenye mambo ya Simba na Yanga.