Yamekosekana maelezo ya kitaalamu na uhakika kuhusu hiki Chuma ambacho kimedondoka huko Kenya?

Wenye wako open minded watakuwa wameshajua hiko ni nini...

Dunia ina siri nyingi sana...
 
Habari zenu wakuu.
Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya.

Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi.

Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?


View attachment 3190012

Hiyo inaonekana ni Ring ya satellite zile chakavu za miaka ya nyuma
Huwa ziko nyingi tu huko angani na hazina kazi tena. Walioziweka wanashindwa kuzitoa kwenye ile orbit yake na inashauriwa pengine wazipige hata na vibomu vidogo vidogo ili zisagike badala ya kuziacha zivunjike zenyewe na kuanguka kwani zinaweza kuleta madhara kwa kuangukia watu/nyumba nk nk
Wananchi watolewe tu wasiwasi...
 
Hii acha tu ipite kimya kimya,
wasije wale wapumbavu kwa jina la nabii au mitume wakaona.
Na kuanza kuchapisha video kwamba walitabiri
 
Nimependa maelezo yako,hasa hapo mwishoni
 
Nimeona wanasema Chuma kina 500 Kg hivi
 
Kwa muonekano hiki kimetemgenezwa na binadamu.Tusubiri tutajua tu.kama wakenya wameshindwa kukitambua wawaite wataalamu kutoka udsm wawafafanulie
😆😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…