Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Wenye wako open minded watakuwa wameshajua hiko ni nini...Hiyo ring gear, siwezi kuwaambia ya nini Ila NI Ring gear, muulizeni Marekani, pumbavu sana jamaa wale.
Kuna siku walimwambia Austria wanapitisha ndege ya mizigo kwenye anga lao jamaa wakaruhusu, wakati jamaa wanapita Austria wakapata mashaka wakarusha jet juu wakakuta ni fuel tanker na juu yake kuna stealth fighter mbili kudadeki, mgogoro wa kidiplomasia ukazuka.
Dunia ina siri nyingi sana...