Yamekosekana maelezo ya kitaalamu na uhakika kuhusu hiki Chuma ambacho kimedondoka huko Kenya?

Yamekosekana maelezo ya kitaalamu na uhakika kuhusu hiki Chuma ambacho kimedondoka huko Kenya?

Mi
Mim mgumu kuelewa hapo chuma inawezaje teketea
Somo rahisi tu hilo mkuu.

Hauonagi angani miale ya mwanga inaenda kasi na kisha kutoweka?

Hivyo ni vimwondo au mawe yanayokuwa yameachia na kudondoka kwenye sayari za mbali.

Sasa linavyodondoka hutengeneza msuguano wenye kasi kubwa ya ajabu inayopelekea kuwaka moto na kuteketea.

Nadhani Mungu aliweka hizo kanuni kwa ajili ya kutuepusha na mabalaa.
 
Habari zenu wakuu.
Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya.
Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi.
Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
The Kenya Space Agency has clarified that a metallic ring which fell from the skies and landed in Mukuku village, Makueni is a fragment of a rocket.

The Agency stated that the ring approximately 2.5 meters in diameter and 500Kg in weight, is a separation ring from a launch rocket which in normalcy, is designed to burn up as they re-enter the earth or fall over unoccupied areas like the oceans.

“This is an isolated case which the Agency will investigate and address using the established framework under the International Space Laws,” the agency stated.

This follows an incident that baffled residents of Mukuku village in Mbooni East, Makueni county on Monday December 30 at around 3pm.

The locals who shared the images online reported hearing a loud rumbling noise after the partially burnt metallic object fell from the sky.

The loud bang from the object’s fall was heard up to 50 kilometers away according to the locals.

Fortunately, the local police in the area reported nobody was injured.

The actions of the locals prompted a quick response from KSA in collaboration with a multi-agency team and the local authorities who secured the area and retrieved the debris which is now under investigations.

KSA further underscored conduct thorough investigations using the existing frameworks to identify the owner of the debris.
 
Somo rahisi tu hilo mkuu.

Hauonagi angani miale ya mwanga inaenda kasi na kisha kutoweka?

Hivyo ni vimwondo au mawe yanayokuwa yameachia na kudondoka kwenye sayari za mbali.

Sasa linavyodondoka hutengeneza msuguano wenye kasi kubwa ya ajabu inayopelekea kuwaka moto na kuteketea.

Nadhani Mungu aliweka hizo kanuni kwa ajili ya kutuepusha na mabalaa.
Mungu tena 🤔
 
Asante sijawahi kushuhudia hilo mkuu
 
Habari zenu wakuu.
Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya.

Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi.

Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?

View attachment 3190012
Kitakuwa kutoka kwa mavifaa kama satelites zinazozunguka dunia ambazp zinaangula duniani labda hakikuungua chote wakati kinaingia duniani
 
Detacher hii ya satellite kama sijakosea, inachonishangaza imewezaje kuanguka duniani, maana mara nyingi huyeyuka kabisa na kwisha angani aidha idondokee baharini ambayo ni 75-80%ya earth suface
#kama mwanasayansi mbobevu imenishangaza sana.
# detacher huwa ni ringi maalum ambayo huwa inatenganisha fuel launcher pad, na operation cabin navigator!
 
Hiyo ring gear, siwezi kuwaambia ya nini Ila NI Ring gear, muulizeni Marekani, pumbavu sana jamaa wale.

Kuna siku walimwambia Austria wanapitisha ndege ya mizigo kwenye anga lao jamaa wakaruhusu, wakati jamaa wanapita Austria wakapata mashaka wakarusha jet juu wakakuta ni fuel tanker na juu yake kuna stealth fighter mbili kudadeki, mgogoro wa kidiplomasia ukazuka.
 
Back
Top Bottom