Folk Part II
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 419
- 490
Kwa walionizidi umri shikamoni na kwa wa umri wangu habari zenu?
Kilichonileta mbele zenu ni hiki ndugu zanguni ni haya nayopitia na baba yangu licha ya kuwa na maswaibu yanayonisumbua kwa muda mrefu mpaka nashindwa kufanya kazi zangu kwa kuamua bali huwa najilazimisha ivoivo baada ya kuona ambao niliamini wanaweza simama na mimi kwenye haya nayopitia kuchukulia kawaida sana.
Siku moja hawa wazazi niliwaambia inabidi nienda hospitalini wakakaa kimya kwa kuwa nilikuwa nawajua nikajipanga hata kama hawatanisaidia pesa yoyote mimi ntaenda tu, siku ya kwenda ikafika nikajiaandaa wananiangalia tu.
Nikawa naenda hospital ya rufaa hiyo siku naye baba alikuwa anaelekea huko ila sio hospitalini tukawa tupo gari moja tukashuka tulivofika huka nikashangaa aniniuliza unaenda wapi nikamwambia hospitalini akakaa kimya tu tukaachana kila mtu akashika njia yake.
Cha kushangaza akarudi nyumbani na kuniacha huko alafu akaenda kumuulizia mama mimi apa nimeenda wapi?
Sikuona ata simu yake wala ya mama maana vipimo vyangu vilikuwa vinachukua sio chini ya siku 5 kulingana na tatizo langu lipo complicated sana. Basi ndugu zangu nikaendelea kuishi nao hivohivo wala si kusema kitu chochote.
ikatokea tena mda mwingine nataka niende hospital na wala nilikuwa siwategemei tena wakinisaidia sawa wasiponisaidia sawa lazma mimi mwenyewe nijipange kwanza hii time baba akanambia hela hana ila ambayo ipo anataka anunulie mashamba kwanza picha linaanza iyo tulipanga tutakuwa safar moja akaniacha.
Ila mi nilizoea toka niko shule nimefanyiwa mikwazo mingi sana nilienda chuo sikuwahi pewa ata 100 mbovu kabisa maana nauli toka nyumban had huko nilikuwa nasoma ilikuwa haipungui 40000,,,kuna kipindi niliwahi kaa njian wiki 2 kwa kujishikiza kwa dogo fulani ivi ndo nikafika huko chuo.
Hapo niligundua hata nikimaliza chuo sina msaada na huyu baba ikabidi kule chuo nijibane sana bas pesa niliopata kwa kusevu nikawekeza kule nyumbani.
Kuna kipindi wakati nasoma nilijitahidi nikawekeza kwenye kitu cha msimu ile pesa baada ya kupatikana baba akaichukua huku akasema atanipa ndo ikawa mazima.
Wakati namaliza chuo wote wawili wakaniagiza simu kama nina balance niwanunulie simu watanipa ela nikifika nyumbani ikawa ndo bas tena wakati mi nilikuwa nawaza hizo ndo hela zitanisaidia ninavoingia mtaani hii yote nilikuwa najua nafanya wema kumbe najimaliza.
Life la mtaa likaanza sasa nikajiingiza kwenye moja ya zao kama mnavojua haya mazao yanataka mbolea sasa mimi nikamwomba uyu baba siku unaenda huko tutaenda wote nikaangalie mbolea maana kule bei nafuu kuliko sehemu ninakoishi nikafos maana iyo siku nayo alikuwa anataka kuniacha.
Nikaenda kutafuta zile mbolea na kuuliza bei na yeye nikamwambia akasema zimepanda zilikuwa haziuzwi hivyo, basi akaniambia kunamtu huwa namubebea anajumuaga labda tukaunganishe naye nikasema sawa bas inabidi uwasiliane naye kama inawezekana ili niwe na uhakika chenga zikawa nyingi kiufupi ikawa haeleweki bas nikamwambia mimi ntaenda kuchukua kwa bei nilizozikuta siku ukiwa unaenda uniambie akapata safari ya kwenda tena uko cha ajabu hata hajaniambia.
Hapa nina maswali sana kwani ipo wazi huyu baba yangu furaha yake ni kuniona nateseka hilo ameanza kitambo sema mi najishobokesha tu niliamini atabadilika hapa nawaza kumkimbia kabisa huku nikiumia hilo zao nimewekeza kwa miaka isiopungua mi5 ila naliacha iviivi kisa visa vya baba ambaye niliamini ndo anaweza kuwa nguzo yangu na mshauri ila ndo mtu wa kwanza kunipiga vita, niliamini atabariki kazi zangu ila imekuwa tofauti sana😭😭😭😭 sina mpango wa kuuza ayo maeneo ili niondoke ni bora nimkimbie na nimuachie ilo zao kama atakataa kuliendeleza acha life tu sina namna.
Hivi na nyie mmewahi yapitia haya nishaulini jamani nafanyaje jamani kunamda huwa nawaza nijitoe dunian kabisa.
Nina mengi haya ni machache sana . Yani hapa ninavoongea licha ya kupita huko shule ya msingi, sekondari, advance had chuo kikuu sijawahi fanyiwa sherehe hata moja ndugu zanguni naombeni ushauri wowote kulingana na maelezo ya hapo juu