Yamenifika shingoni sijui la kufanya mimi

Alikuwa ananipiga vikwazo kwenye mambo potential sana kwa mfano kipindi naomba mkopo wa chuo hakuonyesha ushirikiano wakati pale kuna fee unalipa mpaka kukamilika haipungui 45000 na hapa nahis hii ni ndogo

Umeuliza kusevu ,, mimi nilisevu kibum
 
Ahsante sana mkuu wangu
Ila acha kujiwazia vitu negative, ushakua mtu mzima.....punguza kutegemea feva feva za wazazi.

Jiwazie maisha yako, panga, inuka tekeleza endelea kujiwazia mazuri, na mazuri yatakufata. Nitakuja pm baadae
 
Well,,, i understand what you say
Familia nyingi Zina migogoro mikubwa sana , na ukiifuatilia vizuri mingi kati ya hiyo husababishwa na wazazi.
Tupo kwenye wakati ambao ndugu zetu wa karibu/wazazi ndo maadui zetu wakubwa kuliko watu Baki ,
NI VILE TU WATOTO HATUSHINDANI NA WAZAZI
 
Toka tafuta pesa ww watakutafuta tuu watakuheshimu watakuona wa maana Mungu akutangilie utafanikiwa
 
Kwanza kataa hiyo hali ya kutaka kushare matatizo/mapito yako ili jamii ikufariji au ikuonee huruma ukweli ni no body will give a https://jamii.app/JFUserGuide my dear.

Kaa chini na ujitengenezee your own destiny na kila maamuzi unayoyafanya au mipango yako unayotaka kuifanya jishauri zaidi na wewe mwenyewe mfanye wewe kuwa mtu pekee unayetaka abadilike na kumshape utakavyo.

Wengine tuna ndugu ambao wapo kwenye top 10 ya uongozi wa nchi, ndugu jamaa na marafiki walotuacha mbali sana lakini baada ya kuface ukweli kuwa hakuna atakayekuonea huruma kwenye haya maisha basi tuliweka moyo wa chuki/hasadi/fitina na kila aina ya ubaya pembeni na kuwaombea yaliyo ya khery toka moyoni

Nasi kupambana na kile tunachokiamini japo hustler bado ni ngumu but still tuna pata kutoka kwenye kile chetu kisicho na masimango.

Narudia kataa hio roho ya kutaka public sympath coz wakat unatarajia hyo huruma watu hao hao wanaweza kukushangaza refer quotes utazopata humu
 
Ahsante mkuu,,,ila kupitia hichi nilichokiandika kuna watu kimewapa faraja na kujiona sio wao tu tupo na wengine pia tunaopitia izo hali.
Pia hapa kuna wazazi au kuna watu wanaenda kuwa watambue linapotokea inakuwaje kama atamuonyesha mtoto vitendo kama ivyo mkuu,,,af mkuu hata kama mzazi ana hela ndani akakwambia haipo af nawewe mtoto unamuona anahangaika kama hana hela mtoto hawezi kuumia ila ataumia tu pale kaomba hela ya ada unamwambia haipo alafu baadae unarud umelewa au huku mtaan unasifiwa wewe ni bingwa wa kununulia watu kwenye mapab hapo lazima ujenge chuki na familia,,,ujue tu mimi sikutaka kuonewa huruma
 
Story have three side me, you and truth
 
Hayo mambo yapo sema wengi huwa hatuongei tunaishi nayo,hilo jambo sio geni kwenye jamii.
 
usitafute furaha kwa kiumbe mwingine..jipende wewe kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…