Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

Kuna siku nimepanda gari machinga nikasimama pembeni yangu kasimama mkaka handsome ana macho kama ya Tommy flavour
Kiti tulichokua tunakiangalia alikua amekaa binti upande wa dirishani na bibi upande wetu
Yule binti alikua anamuangalia huyu mkaka halafu anamkonyeza aibu naona mimi tuliosimama wote tunamuona
Yule kaka anamkazia tu macho
Bibi ake akashtukia mchezo akawa anamkataza anamwambia aangalie mbele
Nikahisi ana matatizo ya akili tho ni mrembo hata yeye
Kuna mabinti hawawezi kujizuia wengi hawa wanaojifunika kichwa nahisi majini mahaba yanawatesa
UJue kuna watu wanahis labda nimejitungia uongo kumbe hiz makitu zipogo ni vile sikuwah tarajia kama na mimi zitanikumba
 
Ile hali ya "sitaki nataka"
Ahahahah. Hapana chief. Hiz ni swag za mama zetu enzi hizo , hata hawa madada wa leo hawafanyi hivyo. unamtongoza ukiwa umeshajipanga, hawana aibu anakutolea macho na ukimaliza anakuomba hela na gesi inaisha ghafla 😂
 
Nipasie mim mkono mzuri uo ukishika shafti aloo lazima ujihisi kizunguzungu
 
Nadra kidogo kwa vibinti kutingisha,mara nyingi majimama ,mashangazi na walio kwenye ndoa ndio wanaoongoza vijana wadogo.
Hata hivyo mambo yamebadilika,sio mbaya kwa mtu kutoa hisia zake japo kwa utamaduni hatujazoea sana wanawake wa umri huo kutongoza
 
Wakati hayo yanatukia alikuwa anakuambia nini
Mazungumzo yalikua mengi sana sikutaka kuyaweka hapa ila kiukwel she initiated and was leading the conversation. Ali controll flow yote ya dialogue kama vile tu mwanaume unavyompiga sound manzi. Mi nilikua responder tu, i was amazed kwakwel, mfano

  • mimi naitwa ... we unaitwa nani
  • ni mtu wa wap?
  • hapa Dar unaishi maeneo gani?
  • naweza pata namba yako ya simu?
  • utarud saa ngapi huko unakoelekea sasa? Nitakusubir maana sikai sana ninakokwenda.

Hayo ni machche katika mengi
 
Ahahahah. Hapana chief. Hiz ni swag za mama zetu enzi hizo , hata hawa madada wa leo hawafanyi hivyo. unamtongoza ukiwa umeshajipanga, hawana aibu anakutolea macho na ukimaliza anakuomba hela na gesi inaisha ghafla 😂
Kwahiyo ulimkata sababu ya pesa ya Gas?🤣

Ngoja ninyamaze maana huenda nikakuona mzembe kumbe nakulazimisha ukamlambe binti yangu.
 
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.

- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta

- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu za kila siku- yule mtoto hazidi miaka 24, hazidi hapo kwa uzoefu wangu wa kuwajua wanawake, imagine nimemzidi 10+ years,

-Wakuu haya mambo nilikuwa nayasoma humu, sikuwahi hata kuwaza kama ningekutana nayo.

- Kwa maelezo niliyoyakusanya ,ni mtoto wa kusini huko, keupe kembamba kana urefu wa wastani, kwakifupi kanafaa kwa matumizi ya binadamu wa kiume. Kamevaa kistara sana, gauni yake smart na ushungi juu, ka ustadhat flani

- Nilijiskia kufedheheka sana, nashkuru Mungu nilikaa siti ya nyuma kabisa (na yeye alipopanda alionikuta tayari ndani ya gari) natokea Uhasibu Kurasini naelekea Kimara Temboni. Nilifedheheka maana yule mtoto alianza kuji "bebisha" bila aibu, kwakwel nimestaajab sana leo, mara akulalie begani mara akuegemee huku ameukumbatia mkono wako kwa mikono yake miwili, mara aniwekee mkono kwenye paja la mguu wa kushoto. Wakuu nimepata aibu za kiume leo.

- niliwaza mengi sana, je ni uchawi huu?, je ni changamoto ya afya ya akili? Je ni nyege zilizopitiliza huyu mtoto kichupa kimejaa na hakijafunguliwa muda mrefu? Au ni jini mahaba hili leo nimepanda nalo daladala? Au ni malaya yuko kazini? What is all this??????

- kwakifupi leo nimekula mtongozo na kiukwel nilitakiwa nikamalize show leo, mpaka namba nilitoa bila kupenda. Mpaka nahis labda i was under attack! May be i was demonically possesed , sio bure.

- sina mengi sana wakuu ila nimechomoa sijaenda kukala kale katoto. Nimeweza mengi sana by the way huu ni mwaka mmoja na nusu sijachepuka, sasa leo huyu mtoto alitaka kuharibu clean sheet yangu.

- najua mtadai picha na kiukwel, nilichukua moja kiunja sana kwa kujifanya najibu message alizidisha vituko vya kuweka mkono pajani, na kuna time ni kama alikua anataka kushika dushe.

- leo hakika nimejishangaa sana na almost nikafkkia hatua ya kutaka kujidharau, hiv nimefkkia hatua hii mimi? Ameonionaje huyu mtoto????

- Hawa watoto wa leo wamekumbwa na nini, huu ni ujasiri au upuuzinuliopita viwango??????

- Nimeaibika sana, maana wadau waliosimama kwenye daladala wakawa wanatutolea macho, japo nilikuwa najitahidi sana kuidhibit ile hali ila huyu mtoto ni kama alipania

- Nimemaliza
NB: Vigezo na mashart vimezingatiwa na picha nimeweka hapo chini.
Ahsanten.
View attachment 2990269
Kuna namna shetani alikuwa anakunyemelea
Hongera kwa kuruka kihunzi kizito
 
Unajishusha ujue
 
Tukisema vitoto vya 2000 ni tatizo mnabisha. Hongera kwa kumshinda shetani, Panga mashambulizi upya ukakule kitoto hicho. Hata hivyo nikupe tena hongera kwa kutochepuka mwaka+, unahitaji kupongezwa.
Mkuu huyo ni Shetani kaja kwa sura ya hicho kibinti Mimi yalishawahi kunikuta aisee sitosahau na yalinivuruga sana lakini yamenipa funzo kubwa sana.
 
Ngoja niuanzishe aisee halafu ili iwe ni funzo kwa Wanaume aisee hizi mihemuko haifahai kabisa
 
Back
Top Bottom