Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
- Thread starter
- #201
Katika bunge la kichwa changu jana mjadala ulikua mkali sana, chama cha upinzani kilikua na hoja nzito zenye mashiko kunitaka nishuke na tutafute mahali tukabanjuane. Hoja nzito kwel kwel, ila chama tawala kikasema noo, na hakikua na sababu nyiingi za msingi kama walivyo ccm, just one word, "hell no just stop that nonsense"ingekuwa mimi tungeshuka kituo chochote hapo,tungeitafuta gesti ilipo chap kwa haraka
Nikaona acha nitii sheria bila shuruti