Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

Kiukweli kaka umeniudhi! Binti hajakutajia miaka yake, wewe umekimbilia huku kuandika ni mtoto wa elfu 2
Usiwaonee wadogo zetu.
 
Kiukweli kaka umeniudhi! Binti hajakutajia miaka yake, wewe umekimbilia huku kuandika ni mtoto wa elfu 2
Usiwaonee wadogo zetu.
AHahahah.
Zinagatia nimeeleza kwann ni wa 2000'.
Nilitumia uzoefu wangu wa kuwajua wanawake, i know them well by looking.
Lakin pia tulikua na mazungumzo meengi sana hicho nilichoandika ni just a part.

Ndio maana nimesema hivyo
 
Mbona kama unalalamika mkuu?fursa haziji mara mbili yaan hapo umejipga gundu,you should've eaten that gazelle!#lion mode
 
Girls hizo sugu za mikononi hua zinatokanaga na nini kwani😒😒
Zinasababishwa na vitu vingi ila moja wpo ni matumizi ya cosmetics. Ujue kuna sehemu za mwil huwa hazi change ,zinagima kabisa, hata ziki badilika ni kwa muda tu hurud kwenye asili yake.
Sehem hizo ni kama

  • maungio ya vidole
  • magoti
  • ugoko
  • viwiko/vipepsi.

Hata ujichubue namna gan hizo parts utadunda tu
 
Sio kweli! Kuna wengine hawatumii vipodozi lakini wana sugu
Wengine wanajichubua lakini sugu hawapati.
Ni aina ya ngozi ya mtu na quality ya kipodozi anachotumia
Leejay49
 
Sio kweli! Kuna wengine hawatumii vipodozi lakini wana sugu
Wengine wanajichubua lakini sugu hawapati.
Ni aina ya ngozi ya mtu na quality ya kupodozi anachotumia
Leejay49
Sahihi, ndio maana nimesema sababu ni nyingi, mimi nimeeleza moja common
 
Back
Top Bottom